The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,108
- 115,842
Half truth ndo ikoje?
half truth ni pale mfano
umeniuliza swali....una mke?
siko comfortable kukuambia kuwa sijafunga ndoa rasmi
but naishi na mwanamke
naweza tu kujujibu
yes,nina mke
Half truth ndo ikoje?
Miaka mitano mzee mzima, nilidhani miaka 3.
ukitaka kujua watoto tunawa-underestimate angalia wanavyofundishwa shule
Midude mikubw, bora uwe umemwandaa kuvipokea.
Nikupe mfano, mtoto wa miaka 5 na nusu alirudi home na kumwambia mama ake 'am in love na kabinti'
Hapo kama ni wewe lazima upigwe butwaa na kuhangaika
Na watoto ni wepesi sana kuwasoma wazazi wao, mshangao tu mdogo unamfanya asikushirikishe kwa mambo yake kabisa.
half truth ni pale mfano
umeniuliza swali....una mke?
siko comfortable kukuambia kuwa sijafunga ndoa rasmi
but naishi na mwanamke
naweza tu kujujibu
yes,nina mke
half truth ni pale mfano
umeniuliza swali....una mke?
siko comfortable kukuambia kuwa sijafunga ndoa rasmi
but naishi na mwanamke
naweza tu kujujibu
yes,nina mke
Hiyo siyo half truth
hiyo ni 'extrapolated truth'
Hiyo siyo half truth
hiyo ni 'extrapolated truth'
Hahahaha Kongosho ole wako kama unaniuzia mbuzi kwenye gunia lol.....watoto wa siku hizi bana ni kuomba tu Mungu awanusuru manake wanajua vitu vingi vikubwa kuliko umri wao hilo sikatai !
Mimi hapa bado sijaona hiyo half truth plz toa mfano mwingine !
well at least sio uwongo sio?
mfano nimekuuliza umetembea na wanaume wangapi...
ukanijibu 'kwa kuwa kuanzia wawili wanahesabika ni wengi,basi tuseme tu ni wengi' lol
umeona jibu hilo?
huwezi later kusema nilidanganywa au huwezi sema alisema wawili...lol
hiyo ni half truth lol
Sio uongo, bali uhalisia umekolezwa.
Why is it so hard for folks to live up to it?
Is it because we as human beings are inherently dishonest?
duh in that case
basi ' i am guilty' lol
nitaanza kujifunza kusema 'the boring truth' lol
Ukisikia 'ulezi' kazi usifikiri ulezi wa uji
Kulea kazi, kwa hiyo kudanganya hakuna justifications.
i wonder if i am the only one
who understand exactly what u mean...
kuna watu wanaitwa pathological liers
the only time they are telling the truth is when they confess that they lied...
labda we are all natural pathological liers ..are we?
Binafsi nina wasichana wili, naongea nao kwa muda tofauti sababu wana miaka tofauti. sikusubiri waulize, nilianza kuongea nao mapema. Ngoja nikupe summary kidogo ya kabinti kangu kamwisho:Roulette chukulia ni mwanao wa miaka mitano hivi hapa unatumia lugha gani kumweleza kuwa watoto wanatoka wapi?
Nijuzeni labda mie bado niko nyuma ndio mana sijui. Labda utamwambia huwa wanazaliwa enhe akiuliza wanazaliwaje ? ....bado tu utaendelea kumwambia ?
Binafsi nina wasichana wili, naongea nao kwa muda tofauti sababu wana miaka tofauti. sikusubiri waulize, nilianza kuongea nao mapema. Ngoja nikupe summary kidogo ya kabinti kangu kamwisho:
Kila conversation ilikua inafata miaka yake, na kujibu suali lake. Kati kati ya hizi conversation alikua anauliza masuali kibao kuhusiana na yale tulio ongea kabla, na nilimjibu kufatana na uelewa wake, pia kufatana na hatari za kutojua hayo mambo. sioni kama nilikosea kumwambia ukweli. Hapa hata ikitokea bahati mbaya mtu ajaribu kum-abuse, au akiwa mkubwa mtu akijaribu kumpa uzito najua nitakua nimejitahidi kum-protect na hayo mambo bado mapema. Still inaweza kutokea ila mtoto anakua akijua viungo vyake vina kazi gani, na anatakiwa kuviheshim kiasi gani. As time goes atawezaa kujifunza mengine mwenyewe ila msingi wa ukweli wa mambo upo.
- First talk, while taking her bath (3 years): Wewe ni msichana. Bryan (mtoto wa family friend) ni mvulana. Leo tunaweza kuona hivo kirahisi sababu ya nguo mnazo vaa na vile mnasuka/nyoa nywele ila mlipo zaliwa hamkua na nguo wala nywele. Hapo ilibidi tuangalie hapa kati kati ya miguu kujua kama ni mwanamke au mwanaume. Nilifurahi sana kuona wewe ni mtoto wa kike, na mama yake Bryan alifurahi kuona ni mtoto wa kiume. Bryan hajaumbwa sawa na wewe. Tulipo maliza bafuni nikamuonesha picha ya cupid nikisema: Bryan has one of those. and we lauged at how ugly they looked. na nikamwambia kua maongezi kuhusu private parts ni yakuzungumza na watu wa karibu tu, na akanielewa.
- akiwa na miaka 4, ameanza kushinda shule, nilimwambia kua hakuna mtu ana ruhusa ya kugusa private parts zake zaidi ya yeye mwenyewe. By then alikua mkubwa kiasi, mimi namuosha mwili ila huko chini namwelekeza tu namna ya kujiosha. nikamwambia kua mtu yoyote akijaribu kukugusa huko lazima uresist sana sababu atakuumiza sana. Na uje unambie straight away ili asirudi tena. hadi utakapo kua mkubwa ndipo utaweza kuguswa bila kuumizwa (sikuspecify miaka, hii conversation itaendelea)
- Alipo fika 5 alimuona dada yangu akiwa mzito, akauliza kama ameshiba sana, dada akamwambia kua she had a baby inside. akaomba kumuona, akaambiwa bado, hadi pale mtoto atakapo toka tumboni.
- Aliniuliza yeye: watoto wanatokaje tumboni? Wanatoka kupitia waliko ingilia. nikamwambia atatoka kupitia uke wa dada yangu. akashangaa itakuaje mtoto mkubwa vile apitie tundu ndogo kama yake, akauliza kama inauma. nikamwambia inauma kiasi ila Mungu aliumba huko chini kunaweza kupanuka na kurudi tena normal size. tukaangalia documentary ya vinyama vinavyo zaa. alishangaa ila baadae akaona sawa tu.
- At 6, dada alipo zaa akauliza tena: watoto wanaingiaje tumboni? Jibu:Mungu aliumba wanawake wakiwa na njia ya kukaribisha mbegu tumboni. Unakumbuka kua wewe umeumbwa tofauti na Bryan? ni sababu wewe unahitaji njia ya kukaribisha mtoto tumboni. Utakapo olewa mume wako atakua kama bryan na atatumia willie yake kuweka mbegu tumboni mwako, na mtoto atakua mkubwa, baada ya miezi 9 atazaliwa akiwa kama Alya (mtoto wa dada yangu)
Sasa watu wengine mtoto akiuliza watoto wengine wanatoka wapi wanamwamia they were from a cabbage, a flower, au they were delivered by a stork, huku mtoto tayari ana miaka sita, saba. really???
dah bora sisi tuliambiwa 'watoto wananunuliwa muhimbili'
ukileta ukorofi unaambiwa 'nitakurudisha muhimbili nikanunue mwingine' lol
dah utoto bana...lol

Mimi sikuambiwa chochote na mama yangu, ila baba alikua anapenda sana kutununulia vitabu. NIlipofika miaka kumi alitununulia kitabu kinaitwa "les femmes et leurs mysteres" (Women and their mysteries). Kilikua ni kitabu kizuri sana kinacho husu menstruation, pregnancy, STD, menopause na mengine.
At 12 alitununulia a comic "joe" about HIV. hadi leo kipo pale nyumbani. Watoto wakifika miaka 10-12, I hope wataweza kukisoma (kipo in French)
Niliposoma somo la biology secondary hayakua mageni kwangu. niliweza kuelewa nafasi ya chromosom katika hatua za kupatikana mtoto wa kike au wa kiume, ila I was not distracted by the way spermatozoids travel to the uterus, through the vagina to meet an ovule from the ovary. I knew that already.