Say what you mean, mean what you say.

Not necessarily dishonesty but also our imperfect nature and circumstances beyond our control are culprits leading to broken or partly-fulfilled promises.
 
Not necessarily dishonesty but also our imperfect nature and circumstances beyond our control are culprits leading to broken or partly-fulfilled promises.

So one hundred percent honesty does not exist chiefly because of our fallible nature?
 
Why is it so hard for folks to live up to it?

Is it because we as human beings are inherently dishonest?

Duuuuh_nimetoka kappa,...kiinglish kigumu bhana.

Nyani...plz weka kwa kikwetu bhana mkuu
 
hii thread itapata wachangiaji wengi wabeba mabox kama wewe.

Teh teh teh...kwa hiyo unataka kusema wala vumbi, wanuka vikwapa, na wakanyaga matope hawajui kizungu? Hayo ni matusi sasa
 
So one hundred percent honesty does not exist chiefly because of our fallible nature?

Definitely! Thats why we have to apologize, set new time tables or even make amendments to replace or downscale some goals we promised.
 
Why is it so hard for folks to live up to it?

Is it because we as human beings are inherently dishonest?

We all need to be honest and live for it brother..however, life is full of sorrows and regrets..in that regards, sometimes you let other things pass in your life even though in reality you dont deserve to have them!
 
Honesty ni relative na ngumu kulingana na mtu unayedeal naye.

Sometimea tunadanganya bila hata kutaka kudanganya.
 
Mhh Kwani Nyani Ngabu unajifanya hujui hayo au
Ndo maana kuna kuombana msamaha hata mara mia vile na unarudia yale yale uliyoomba msamaha
 
Last edited by a moderator:
Sioni ni vipi kuomba msamaha kunahusishwa na honesty.

Komba msamaha ni A, na kuwa honesty ni B

Au mangereza yananipiga chenga?
 
Ngoja nikupe mfano,

Mmekutana, wote hamfahamiani
Huwezi kuwa honesty from day one na kusema kila kitu
Lazima kuna vitu vingine hutasema hadi utakapo jifariji uko salama kwa mtu huyo.

Sasa mtu ata earn kivipi trust yako wakati wewe unamwambia uongo? :wacko:
 
Ngoja nikupe mfano,

Mmekutana, wote hamfahamiani
Huwezi kuwa honesty from day one na kusema kila kitu
Lazima kuna vitu vingine hutasema hadi utakapo jifariji uko salama kwa mtu huyo.

Kutokusema yote kuhusu wewe haina maana wewe siyo honest. Wewe hapa unachozungumzia ni kuwa muwazi (open) au kutokuwa tayari kusema yote ama mengi kuhusu wewe (reticent).

Honesty inahusisha kutokusema ukweli/ kusema uongo. Mfano nikikuuliza wewe umeshalala na wanaume wangapi? Ukiniambia umeshalala na wanaume 7 wakati unajua fika umelala na wanaume 150 hapo utakuwa unadanganya.

Lakini ukisema 'kwa sasa nisingependa kujibu hilo swali' hapo utakuwa hujasema uongo bali hujataka tu kufunguka na kusema ukweli.
 
Sioni ni vipi kuomba msamaha kunahusishwa na honesty.

Komba msamaha ni A, na kuwa honesty ni B

Au mangereza yananipiga chenga?

Kongosho, kuomba msamaha kuna uhusiano wa karibu sana na uaminifu(honesty). Hivi mwenzako akikukosea na akogoma kuomba msamaha, je utamhesabu kuwa ni mwaminifu kwako? Bila shaka, la. Lakini kuna tofauti kubwa kama akiomba msamaha kwa sababu itaonyesha kuwa hajafanya makusudi ila ni asili yetu ya kutokamilika(imperfectness) ndio iliyomfanya akosee. Utaendelea kumwamini kwa sababu ameomba msamaha.
 
Yaani ni kama umeniwahi, nilitaka kuanzisha thread hasa yenye kuwalenga wanaume kwa kuwauliza, "ni lini tuamini wanachokisema?"

Inachosha na inaumiza sana mtu anapotumia maneno makubwa kama 'you are the love of my life' napata shida sana niamini au niishi kimachale machale. I real wish tusingesema tusivyoviamini. I rarely do!
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom