Sauti ya kike inanipa kiwewe.

kuku dume

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
414
62
Wana Jukwaa,
Kadiri siku zinavyokwenda nakuwa dhaifu.
Nimejitahidi sana kuepuka mahusiano mpaka pale nitakapooa.
Kipindi kifupi kilichopita nimekuwa na wakati mgumu sana pale ninaposikia sauti ya mwanamke iwe kwenye simu au ana kwa ana. Kila nikisikia sauti 'jamaa yangu' amekuwa 'akiamka'. Nimefikiria kuvaa kanzu kuficha aibu lakini mimi ni mkristo na nikivaa kanzu watakuwa na mashaka nami ikiwa bado ni mkristo bado au nimesilimu.
Shida pia huwa kubwa pale mwanamke yeyote anapogusa mwili wangu.
Nifanyeje jamani kuzuia hili maana napatamani sana mbinguni na pia napenda heshima yangu iendelee kudumi katika jamii ninamoishi.
MSAADA WAKUU.
 
Je umesoma shule ya bodi ya wavulana tu?
Afya ni utajiri bora, tunza afya yako.
 
jaribu kutumia pulltable ( master bachelor ) inaweza kukusaidia au ukishindwa jaribu kuirudisha kwa mwenzake huko nyuma.
kwani wenzako kila siku wana kwenda kwa sangoma kupandisha IC ya network ww unaona kero. siku moja utakumbuka na utataka network ila haitokuwepo
Hivi nikweli kila msichana akiongea jamani, network yake inapanda basi ina maana hiyo dushelele yako imefikia pabaya usije uka baka mpaka sauti
 
Wana Jukwaa,
Kadiri siku zinavyokwenda nakuwa dhaifu.
Nimejitahidi sana kuepuka mahusiano mpaka pale nitakapooa.
Kipindi kifupi kilichopita nimekuwa na wakati mgumu sana pale ninaposikia sauti ya mwanamke iwe kwenye simu au ana kwa ana. Kila nikisikia sauti 'jamaa yangu' amekuwa 'akiamka'. Nimefikiria kuvaa kanzu kuficha aibu lakini mimi ni mkristo na nikivaa kanzu watakuwa na mashaka nami ikiwa bado ni mkristo bado au nimesilimu.
Shida pia huwa kubwa pale mwanamke yeyote anapogusa mwili wangu.
Nifanyeje jamani kuzuia hili maana napatamani sana mbinguni na pia napenda heshima yangu iendelee kudumi katika jamii ninamoishi.
MSAADA WAKUU.

Una umri gani?
 
fanya mazoezi na jishuhulishe ili akili isiwaze ngono.
Jiepushe na mahusiono au mazoea ya wadada yasiyo na ulazima.
Jitunze kijana umtii mola wako. Ni wachache wa mfano wako.
 
Ni balehe tu nadhani kadri unavyokua itaondoka..
Ila pia wakati unatafuta tiba..jiepushe kubeba watoto wadogo hususani wakike ..
Naona ni hatari kwa afya yako aiseee...

Nimeipenda hiyo ya kutobeba watoto wa kike.
 
Je umesoma shule ya bodi ya wavulana tu?
Afya ni utajiri bora, tunza afya yako.

ndiyo. nimesoma shule ya wavulana. sikupenda kusoma mchanganyiko kwa kuwa kila wakati nahofiaga kuwa na wadada pamoja.
 
Ni balehe tu nadhani kadri unavyokua itaondoka..
Ila pia wakati unatafuta tiba..jiepushe kubeba watoto wadogo hususani wakike ..
Naona ni hatari kwa afya yako aiseee...

mkuu SnowBall heshima yako. hapa nakupa hongera sana manake umesema kweli akipenda kubeba watoto atawabaka.
 
Last edited by a moderator:
Kuna mask tape, kabla hujaondoka home
Izungushie 'henkachifu' afu uibane kwa mask tape pajani.

Otherwise uko poa kabisa

Au aishonee kamfuko ambacho kwa juu huku anaweka lastic (mpira) na pia anashonea kamba mbili ambazo anazifunga kwenye paja (kamfuko kanakuwa kamelalia paja)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom