sauti ya cloudz tv kwenye king'amuzi

Bonyeza truck kisha chagua Audio Track anza kujaribisha kama inakubali katika hizo tatu hapo mean Stereo,Left na Right kisha unabonyeza OKlazima itakiwa
 
wanasema wameziachia
Itv
Eatv
Dtv na
Startv

cha ajabu hazioneshi
sasa mtaalamu atupe maelekezo
 
Wameongeza chanel 3 na wameondoa chanel 3 yaani ni sawa na kupiga hatua tatu mbele then unarudi hatua tatu nyuma
 
Back
Top Bottom