sauti inapotea

pico

New Member
Jan 22, 2011
2
0
salama wakubwa na wadogo
mimi jamani nina tatizo moja...sauti yangu inakua ya kukwaruza sana nikiongoea natumia nguvu sana nakua nachoka.Mpaka sasa nina mwezi mmoja....Naomba msaada wenu...
 
Kama wewe ni kijana, una umri wa miaka mingapi?

Oooh! Pole sana!
Wahi kwa wataalamu wa Masikio na Koo (ENT specialists).
Utakuwa na matatizo katika hiyo system.
Wahi, usichelewe.
Kama ulikuwa unavuta sigara hiyo inaweza kuwa Laryngeal carcinoma (Saratani ya koo).
Wahi hospitali.
 
Ndugu wahi hospitali kitu kinachokuja abila kujua chanzo nni vizuri ukiwahi. ungekuwa una mafua yaliombatana na kikohozi ningezeseama ni kwa bababu hiyo. lakini kama sio mafua yaliombatana na kikohosi basi utakuwa na tatizo wahi bila kuchelewa.
 
Back
Top Bottom