SAUT na mavazi...

Shagiguku

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
407
133
Chuo kikuu cha mtakatifu Agostino Tanzania (SAUT) cha jijini mwanza, jana kilianza kutekeleza utaratibu wake mpya kuhusu mavazi kwa wanafunzi wake, ambapo wanafunzi wa kike hawatakiwi kuvaa suluali na wale wa kiume hawatakiwi kuvaa kwa mtindo wa mlegezo (kata K). Hali hii inawaweka katika wakati mgumu wanafunzi ambao walikuwa wamezoea kuvaa sikini jinzi.

Swali la kujiuliza ni kwamba uongozi wa chuo utawezaaa....??????? maaana kuhusu mavazi kwa wasomi wa nchi hiii katika vyuo vikuu vyetu ni HOVYO HOVYO.........!!! KAZI NI KWAKO MR, MAKAMO MKUU WA CHUO...!!!!TULIJENGE JIJI LA MUNGU, siyo jiji la mwanza
 
we muhanga nini ?

ndo mvae vzuri sasa..ahh mimi nilikuwa na shost yangu uyo akivaa jeans ni lazima ashushe kdg KICHUP kionekane kwa nyuma..mwenyewe anasema anabpu....

ahh ukimchek si wadada wale sa ukimwuliza nia yako kuu ninin watu kuona pampas io ..anasema anoana raha tuuu

maadili yamehama tz ..even thou its too late kuanza kuwabana watu ukubwan wakiwa chuo bt stl inasaidia kdg ata 000.00 stll inasaidia...

i kampen ingetakiwa kuanzia majumban,maprimary sekondar then chuo...

mhh lakin skuizi tumezd kuvaa uch jaman...mtu anaenda ofisin kavaa km yupo ufukweni kila kitu njeeeeeeeeeeeeee

inanboa sana...

UZUR WA MTU NI NDAN..UPSTAIRS IKIWA NZURI ...ukijua ufanye nin wap,saaa ngap,useme nin wap na kwanani...
una utu na uruma..ahh bas we ni mzur zaid ya cleopatra....TUACHE KUJIDANGANYA ET UZUR MPK UVAE SURUALI ..bahat mbaya wengne wana shep za kaka zao ,juu wakubwa chn wadogo km chupa ya konyag stl anataka apige skin jeans....ah wakat angepiga gaun lake refu angependeza na wala asingejidhalilisha....

okeeeeeeeeeeeeeeeeeee UONGOZ WA SAUT...
 
Thread yako haina tija, then ilishakuja na kujadiliwa sana humu. Mambo yako ya vimini na saut peleka huko chuoni. hata wakivaa hijabu. (by the way kuvaa nguo za stara saut ni sawa sawa na kuvaa vimini chuo cha mum pale moro)
 
okeeeeeeeeeeeeeeeeeee UONGOZ WA SAUT...[/QUOTE]

hapo pekundu nimekukubali.....!!!!
 
haya ni mambo ya kawaida sana hata nje baadhi ya vyuo yapo, mfano kwa boys jeans,t-shirt,sendo,kaputula haviruhusiwi lengo ni kujiandaa na mazingira ya kazini

safi sana saut..........................maana wengine wamegeuza sehemu ya maonesho ya mavazi
 
haya ni mambo ya kawaida sana hata nje baadhi ya vyuo yapo, mfano kwa boys jeans,t-shirt,sendo,kaputula haviruhusiwi lengo ni kujiandaa na mazingira ya kazinisafi sana saut..........................maana wengine wamegeuza sehemu ya maonesho ya mavazi
bora hata mashndano ya kuvaa vipedo yapungue!
 
Thread yako haina tija, then ilishakuja na kujadiliwa sana humu. Mambo yako ya vimini na saut peleka huko chuoni. hata wakivaa hijabu. (by the way kuvaa nguo za stara saut ni sawa sawa na kuvaa vimini chuo cha mum pale moro)

Kama huna mchango kaaa kmya hulazimshwi kusoma au kuchangia sred ebo we vipi bana??
 
Back
Top Bottom