SAUT na Loans board hali tete

Piazza jr

Member
Oct 30, 2011
70
3
Jamani inavyosemekana ndo hivyo Loans board hawatoi mpunga mpaka wiki tatu zipite kwa kuwa vyuo vingine vimefunga na huo ndo utaratibu walionao, so Raisi, PM, na waziri wa mkopo waenda kufatilia. So ngoja watu waanze kukaba.
 
Saut huwa mna kiherehere cha kufungua chuo mapema.acha mkomeshwe.
 
Nimefwatilia na kuhakiki kuwa, cheque ilishatumwa tangu January 22. Wewe subiria ifike Feb 22 ndo utaanza saini.
 
Angalia ww wabishi hawalali njaa bali wanachelewa kula

ngoja nkuibie siri ya bodi mkuu,bodi huwa haiwezi kuanza kutoa mikopo kwenye chuo kingne tofaut na udsm,so subiri kwanza sisi tufungue hyo tarehe 24/feb tukabidhiwe chetu afu chenji zinazobaki ndo mtaanza kupewa nyie wengne
 
Angalia ww
 
ila saut inabid mgome kidogo kautaratbu kabadilike,we likzo gan ya cku3?c bora mngeunganisha semester ikajulikana hamjafunga,yaan ata hakuna fravour ya likzo,na bodi lazima wawafanyizie,wik tat zikipita ndo mpango,
 
nonsense! Yani chuo kiache kufuata ALMANAC yake kwasababu ya bodi?. Vyuo venu vya kata ndo vinafanya ivo...!

kama udsm ni ya kata,cjui saut itakua ya nin!afu we ka nikilaza,ulifel form 6 ukakosa mkopo,wenzio wanaotegemea bodi wanakua wanaumia hapo,acha upang'ang'a.
 
kama udsm ni ya kata,cjui saut itakua ya nin!afu we ka nikilaza,ulifel form 6 ukakosa mkopo,wenzio wanaotegemea bodi wanakua wanaumia hapo,acha upang'ang'a.

Quarreling wit a bastard guy is biggest fear....! UDSM nimemaliza pale 2008 LL.B. Nilijuta kusoma chuo icho, vyoo vimejaa vinyesi hadi kwenye coridor!. Niliombwa nifundishe hapo nikapiga chini. Niko SAUT napiga kazi na kusoma pia. Ukitaka kunijua vizuri, ulizia wanafunzi wa miaka ya 1998-2001 GALANOS na 2002-2004 MZUMBE. 'SOKORO' ilikua chata yangu.
 
we akili yako itakua inahitaji jiki ili iwe sawa..we shule umeenda kupga kitabu au kuangalia vyoo ka vimejaa?cdhan ka we ni product yetu.
 
Kweli ujuha ni mzigo mzito sana!! You guys need to grow up and go out there to realise it‘s not the ‘ivy league college‘ that you think yours is, that will get you a job and promising career growth!
 
we akili yako itakua inahitaji jiki ili iwe sawa..we shule umeenda kupga kitabu au kuangalia vyoo ka vimejaa?cdhan ka we ni product yetu.

Ni fedheha kujisifia eti product ya UDSM! Vp mkuu hujamaliza diploma yako ya ADULTY EDUCATION? tangu mwaka juzi unasoma tu, aisee unajua kuunga!.
 
Back
Top Bottom