Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,011
- 144,371
hiyo dhambi ya kutosoma vyuo vikuu vya Taifa itakutafuna wewe mpaka kizazi chako cha 3,
Na hiyo dhambi ya graduates wa ud kushinndwa kuwa wabunifu(na hapo ndipo tunapohoji ubora wa elimu yao) na kuwanyima watanzania wengi kupata elimu ya juu kwa miaka mingi kwa kushindwa kuanzisha vyuo vikuu vya taifa itawatafuna wao na vizazi vyao mpaka siku yesu anarudi duniani.
Tunayashukuru mashirika ya kidini kwa kupanua elimu ya juu kama walivyofanya kwenye elimu ya sekondari.