Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,753
sio usome uwe na mipango ya kujiajiri ama?Chuo ni chuo ili mradi umepata ajira yenye mshahara na mapato mazuri mengine hayo ni ya ziada ,usome teku,tumaini,
sio usome uwe na mipango ya kujiajiri ama?Chuo ni chuo ili mradi umepata ajira yenye mshahara na mapato mazuri mengine hayo ni ya ziada ,usome teku,tumaini,
Chuo cha kata UDOM na kile kilichobaki jina UDSM wapate mkopo SAUT wakose?
ok,mie nilijua ni vipanga wa ud,sua,mzumbe na udom ndo mikopo inawahusu!kumbe hata huko kwa waliofel wanakumbukagwa,basi serikali yetu ina fedha za mchezo.
nasikia hapo UD ukiwa na muonekano mzuri (haijalishi km ni mwanaume au mwanamke) una tiketi ya kupata 1st class. Vp ni miongoni mwao?
**** za mamazenu wote mnaoponda saut
Ivi wanafunz wa saut nao kumbe huwa wanapewa mikopo?
Ni vilaza tu huwa wanatoa matusi kama Silinde
Ni vilaza tu huwa wanatoa matusi kama Silinde
unakandwa na ukwaju wewe.....
Silinde ni good boy Mwanaharakati aliyemaliza UDSM 2010 na moja kwa moja akagombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA na kushinda.
mtu wa Matusi ni kilaza Livingstone Lusinde (Magamba)Mtera
Mie mwanangu akimaliza pale bagamoyo nampeleka zangu south africa tu akasomee u pilot hivyo vyuo vyenu mtasoma nyie
Nilifikiri Harvard au Yale!
Havard ni aviation university??
Akili za mbayuwayu changanya na zako