SAUT Mnachelewesha boom bila sababu?. Angalia hapa.

Status
Not open for further replies.

don-oba

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
1,387
677
Kwanza kabisa napenda kutoa shukurani za pekee kwa HESLB kuleta cheque kwa wakati unaotakiwa. Pia naipongeza serikali ya wanafunzi chini ya uongozi wa Malisa kufuatilia hili suala kwa ukaribu. Ni jambo la kushangaza chuo kimeweka dedline ya kulipa ada leo hii tar 5 ikiwa tayari wamepewa cheque lakini hawataki kuiweka kwenye a/c za wanafunzi. Zoezi la kuwasainisha 1st yr limechukua siku 4, hapo bado 2, 3, na 4th yrs!. Naomba uongozi serikali ya wanafunzi uliangalie hili kwa ukaribu isijekawa kama yale ya MATABA. Nilimwandika humu mwaka jana juu ya ufisadi wanaoufanya, baadhi ya watu wakamtetea. Imethibitika alishirikiana na baadhi ya wahasibu kula mamilioni ya hela. Watu wanacheleweshewa hela, wanakula pesa ya PENALTY.
 
Ivi wanafunz wa saut nao kumbe huwa wanapewa mikopo?
 
Chuo cha kata UDOM na kile kilichobaki jina UDSM wapate mkopo SAUT wakose?

ok,mie nilijua ni vipanga wa ud,sua,mzumbe na udom ndo mikopo inawahusu!kumbe hata huko kwa waliofel wanakumbukagwa,basi serikali yetu ina fedha za mchezo.
 
hahahahahahah wacha mie niende toilet mara 1 thn ntarud.
 
ok,mie nilijua ni vipanga wa ud,sua,mzumbe na udom ndo mikopo inawahusu!kumbe hata huko kwa waliofel wanakumbukagwa,basi serikali yetu ina fedha za mchezo.

nasikia hapo UD ukiwa na muonekano mzuri (haijalishi km ni mwanaume au mwanamke) una tiketi ya kupata 1st class. Vp ni miongoni mwao?
 
ok,mie nilijua ni vipanga wa ud,sua,mzumbe na udom ndo mikopo inawahusu!kumbe hata huko kwa waliofel wanakumbukagwa,basi serikali yetu ina fedha za mchezo.

mpk leo kuna watu wanavidharau vyuo? dah nadhan ndo matatizo ya kumaliza form six mkiwa na umri mdogo.
 
Haraka ya nini ndugu yangu,!?
Kama cheque iko chuoni we subiri tu utapewa stahiki yako.
Na hilo swala la deadline ya kulipa ada wala hata lisikuumize kichwa, waambie mzazi hana pesa nasubiria mkopo ndio nilipe.
 
Unajua inashangaza sana kuona watu walioelimika kujibizana maswaala yasio na msingi wowote wa kujenga jamii yetu ya wanaJF na wadau wengine.Pia inashangaza eti tunajiita "The great Thinkers".Mh!
 
Kwanza kabisa napenda kutoa shukurani za pekee kwa HESLB kuleta cheque kwa wakati unaotakiwa. Pia naipongeza serikali ya wanafunzi chini ya uongozi wa Malisa kufuatilia hili suala kwa ukaribu. Ni jambo la kushangaza chuo kimeweka dedline ya kulipa ada leo hii tar 5 ikiwa tayari wamepewa cheque lakini hawataki kuiweka kwenye a/c za wanafunzi. Zoezi la kuwasainisha 1st yr limechukua siku 4, hapo bado 2, 3, na 4th yrs!. Naomba uongozi serikali ya wanafunzi uliangalie hili kwa ukaribu isijekawa kama yale ya MATABA. Nilimwandika humu mwaka jana juu ya ufisadi wanaoufanya, baadhi ya watu wakamtetea. Imethibitika alishirikiana na baadhi ya wahasibu kula mamilioni ya hela. Watu wanacheleweshewa hela, wanakula pesa ya PENALTY.

We jamaa upo vizuri sana ngoja niku pm tumit pande SAUT
 
Mkuu Pitz, basi kitakuwa chuo cha vilaza sana...div 3 zitakuwa nyingi sana, NYIE JISIFIENI TUUUU NA HIVYO VYUO VYENU LAKINI HAIMAANISHI UTAPATA KAZI NZURI KUTOKANA NA HICHO CHUO CHAKO ,ZAWADI MACHIBYA KASOMA MASTERS SAUT SASA HIVI ANAKULA BATAA HUKOO UGHAIBUNI
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom