SAUT Kuna mambo!!!

Thinker96

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
311
66
kuna lekcha thieta moja pale chuoni SAUT inaitwa m1,sasa kipindi cha mitihan kijana mmoja alifika wakati wa usiku na kuandika majibu juu ya feni mara siku ya mtihan ikafika akaenda kukaa site sawa ile feni sasa zengwe la mtihan likaanza...kijana akajifanya anafikiria sana anaangalia juu...mara msimamizi akafika kuangalia kumbe kijana anachit kwenye feni...kawaida ya warumi wa chuo hicho huwa wanataka kidhibitisho kama m2 anaangalia afu msimamiz unajishindia million yako,sasa msimamiz huyu kwa ushenz si akawasha ile fen si kijana akaanza kuzungusha kichwa akariri vya mwisho mwisho...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom