Saudi Arabia wanajenga "Mji wa Wanawake",utafunguliwa rasmi 2013

Any road will get you anywhere you dont know?Interesting...

..................habari hii imeletwa na Mgalatia ! akiamini ustaarabu wake ni bora zaidi ! Wewe unapungukiwa na nini katika huo mji ?. Wagala mmejaa unafiq na wivu ! kaeni na wanawake wenu mnao wachezesha shoo !
 
Mkuu nimesema ni news niliona kwenye CNN.Pia soma "My take"

Sasa kama uli doubt habari hii,unge google kujihakikishia halafu urudi hapa kusema ni uongo...Nimekusaidia,acha uvivu.

Saudi-women-attending-an--008.jpg

Saudi's women-only city: what to expect | World news | The Guardian

Saudi Women to Get Their Own ‘City’ - ABC News

malengo ni nini kuwatenga hao kina mama hawaoni kuwa production unity itakufa then their generation will be end
 
..................habari hii imeletwa na Mgalatia ! akiamini ustaarabu wake ni bora zaidi ! Wewe unapungukiwa na nini katika huo mji ?. Wagala mmejaa unafiq na wivu ! kaeni na wanawake wenu mnao wachezesha shoo !
We huijui imani yangu, so shut up!Wewe mwenye kuivaa kwenye "sleeve" imekusaidia kitu gani na utumwa wako wa akili?

Kwanini hukuileta habari hii wewe usiye mgalatia?Na je unajuwa maana ya forum?

Kama unaona wasaudi wamefanya jambo baya na ni mabwana zako,peleka masaburi ukawaambie na siyo uje hapa kutema ***** na udini.
 
Wanawake wote watahamia huo mji. itabidi wanaume nao waruhusiwe kwenda mji huo kutembelea wake zao na wengine pia waruhusiwe kwenda kulinda wake zao dhidi ya wanaoenda kutembelea wake zao. Kitu ni kilekile. Hawa wanawake watalindwa hadi lini? Hivi nini kinafanya hawa waarabu kulinda wanawake kiasi hicho? Labda wana kitu fulani wanawake wetu hawana kwa sababu wetu tunawaachia tu.
 
Back
Top Bottom