jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,989
- 22,521
Kwa mujibu wa CNN,wasaudi wameamuwa kujenga mji wa wanawake ili waweze kufanya kazi.Hii ni hatua ya kuelekea kuwapa wanawake haki ya kufanya kazi,kuendesha magari nk.Maofisa wa Saudi wanasema ni hatua nzuri,kazi 5,000 zinategemewa kuwa created.Maofisa hao pia walisema kuwa hawawezi kuchukua hatua za kuwaruhusu wanawake wafanye kazi na wanaume,hata wanadai huu ni mwanzo mzuri.
My take:Hongera kwa wasaudi kwa kupiga hatua hiyo...
My take:Hongera kwa wasaudi kwa kupiga hatua hiyo...