Saudi Arabia admits invading Bahrain

Waarabu wa Pemba wanajuana kwa vilemba. Iran wataishia kupiga kelele kwenye media hawawezi kupeleka jeshi uko Bahrain.

Saudi Arabia wanatekeleza moja ya makubaliano ya GCC ya kusaidiana militarily pale mwenzako anapohitaji msaada Kama ilivyo allied countries na NATO.
 
iran lazima walalamike maana wanataka wao wawe ndo stong state hapo middle east-kitu ambacho hataweza-wanapenda nchi nyingine ziwe weak-na tatzo hizo nchi za GCC nyingi ni partner na marekan-kitu ambacho ni threat kwa Iran-
 
Back
Top Bottom