Sattelite na Frequency mpya za ITV

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Tujuzane Frequency mpya za ITV nasikia jamaa wamehama Satelite
 
watatoa tu, vuta subira!

Walishatoa. Pia walikuwa wakitoa matangazo ya mabadiliko hayo ya frequence mara kwa mara kwa ambao hawajapata au hawakufuatilia kwa makini.
Kwa kifupi walichobadilisha ni SYMBOL RATE:
Ya zamani ni 13330 na mpya ni 8545.
FEC ni 2/3
Frequence ni 3643
Satellite ni ile ile ya nyuzi 64, Intel 906

Nadhani mmenipata.
 
Asante sana Mtu wa Mungu
 
Asante sana kiongozi nimefanya mabadiliko kwenye receiver kwa sasa napata ITV kama kwaida,tatizo liko chanel ten siipati,unaweza nisaidia frequence zao?,natanguliza shukrani!!!
 
Naomba mnisaidie nipate majina ya Satelite Na Frequency walizohamia ITV, Chanel Five na Capital ili niweze kuwanasa. Tafadhali.
 
bIG-UP Azikiwe..

I have been facing the same problem since juzi!

Tafadhali mjuao tufahamisheni..

Mara ya Kwanza nilidhani may be wako kwenye mgawo wa RICHIMONDULI...laikni kadiri muda ilivyoendelea nimegundua kuwa ni shida ya frequencies!
 
Ndiyo mtu wangu, nasikia walitangaza b'4 kuwa watahamia kwenye Sattelite gn na Frequency zitakuwa zipi. Watusaidie hata contacts za ITV.
Yani nikipata namba ya simu itakuwa poa na nitazimwaga hapa.
 
Naomba mnisaidie nipate majina ya Satelite Na Frequency walizohamia ITV, Chanel Five na Capital ili niweze kuwanasa. Tafadhali.

kama nin kumbukumbu vizuri nilisikiwa wakitangaza
intelsat 906 64E

Frequency 3643.78.. hata ukiweka 3644 utaipata
FEC 2/3
Symborate 8545
 
Nimekushukuru ki-JF!
nATUMAINI ZITAFANYA KAZI NIKIENDA KUBANDIKA!... BBLESSED!
 
kama nin kumbukumbu vizuri nilisikiwa wakitangaza
intelsat 906 64E

Frequency 3643.78.. hata ukiweka 3644 utaipata
FEC 2/3
Symborate 8545

Gud CK,
Asante na nitajaribu baadae kidogo hlf nitakufahamisha,
labda kama unafahamu nyingine nzuri utujuze,

PJ bila shaka umempata mshkaji.
 
samahani kama swali langu la kitoto! does this mean sisi tulia nje ya afrika tunaweza kuona? if so how? naomba msaada
 
Nadhani na wewe unatakiwa kupachika hizo frequency kama kawaida, nasikitika sna jana sikuona Mizengwe.
 
Wakuu ina maana ni kwa Channel zote the same frequencies au Capital na Channel ten wanazo za kwao? Naomba majibu ili nami nisikose malumbano yanaendelea maana kila kukicha ni bifuz tu!
 
samahani kama swali langu la kitoto! does this mean sisi tulia nje ya afrika tunaweza kuona? if so how? naomba msaada

Nafikiri unaweza kuona ili mradi tu kama unatumia satelite dish mimi natumia free 2 air. kwenye hiyo intelsat 906 64E niliweka frequency 3644 kwa sababu sikujua jinsi ya kuweka hizo point 78 na kuendelea hivyo nilikaribisha 3643 nikaweka 3644;

FEC 2/3
Symborate niliweka 8543 ingawa baadaye niliona kwenye matangazo yao ni 8545 ila kwa kuwa zilishika baada ya kubadilisha sikutaka kuhangaika zaidi. mimi pia bado ni mwanafunzi katika mambo haya.
 
Wakuu ina maana ni kwa Channel zote the same frequencies au Capital na Channel ten wanazo za kwao? Naomba majibu ili nami nisikose malumbano yanaendelea maana kila kukicha ni bifuz tu!

hii ni kwa channel za ITV; EATV na Capital tu. ingawa na mimi channel ten siipati vizuri inakatika katika sijui kama na wao wamebadilisha.
 
Back
Top Bottom