SasaTel (Dovotel) kuzinduliwa tarehe 15 June.

Innovation yeyote ambayo hakubaliwa na wateja ni ngumu sana kutawala soko, mfano mzuri ni Microsoft walipotoa gaming box ambayo ilikuwa unaweza kucheza na majirani zako kwa kutumia internet connections ilikosa mnunuzi kwani by that time hakukuwa na watumiaji wengin wa internet kama sasa.

Kwahiyo hata hiyo CDMA inawezekana ikajivuta kidogokidogo kwani haiwezi kuchukua kasi wakati sio industrial standard until and then lazima GSM itaendelea kutawala.

Lakini ni vizuri tukawa na new player in the industry kwani itatupa nafasi ya kufanya choice ya product tunayoitaji.

CDMA is not industrial standard? What do you mean by this? Have you contacted ITU before this comment?
 
hawa jamaa coverage yao ipo lakini??? Maeneo ya pembezoni mwa mji kama Kigamboni, Bunju, Kongowe, Kibamba, etc wamefika?
Hatutaki kununua mitandao ya kuishia magomeni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom