SasaTel (Dovotel) kuzinduliwa tarehe 15 June.

As an end user I dont care what technology is being used behind the scene. All I need is a quality service. The rest is your internal strategies na ma engineer wenu.
if you care about CDMA or GSM then CDMA will likely provide you with a better Quality service!
tunapoongelea QoS tunamaanisha everything that guide better services,from fewer droped calls to less attenuation.

Then be happy when a company is focusing on bringing you better QoS instead of quick IPO and such.
I believe great companies are built on strong foundation.better services being the very important thing.

Failure is determined by your plan of action. You dont need 4 years or more to know you are a failure! If you (Dovetel) have done all your strategic plans and business analysis considering your game field environmental factors well and convinced yourself that you are a success, no one else can tell you otherwise. Put it in action, sisi yetu macho!

4 years means nothing in longterm business my friend,may be you have never been in one,some companies take 5 years to just break even!who have told you that they have failed?!as far as am concerned they haven't even started official services yet.so unless you are a witchdoctor,dooming them to fail is kind of immature.

Kwa kukusaidia tu in case ume-overlook kitu: Watanzania wengi elimu yao duni, sio watumiaji wakubwa wa data services wa kutegemea sana. Wengi wao wahahitaji simu for voice communications tu. Pamoja na kwamba bei ni kitu critical cha kuwasogeza, initial investment pia ni ishu. Kampuni mpya ya GSM ni likely zaidi kuwa win kama ikija na strategy nzuri ya bei (with quality upfront ofcourse) maana watanunua tu sim card na kupachika kwenye existing handset. CDMA based company ikijaribu hilo, jibu lake tutalipata kwa Dovetel kama ni tofauti na makampuni yaliyokwisha kujaribu!

Kuwa na elimu ndogo sio sababu ya watanzania kuto-enjoy scalability ya CDMA or any better technology.talk about adaptation.i believe 10 years ago no one would find use of a cellphone to a fisherman or a bus driver.BUT fast foward 10 years later..,
 
Sheee! Wana jamii msitoboane macho Ohhh ohooooooooooo,Uzinduzi umeshindikana kwa leo lakini wiki haiishi,Modem za CDMA hazijasoma tunajaribu kila linalowezekana kuhakikisha mambo yanakuwa jikoni musikonde laaalashe!Kimweri BIG UP sana wewe unajua teknolojia haswa asante Aaashenaaale!
 
As an end user I dont care what technology is being used behind the scene. All I need is a quality service. The rest is your internal strategies na ma engineer wenu.

Failure is determined by your plan of action. You dont need 4 years or more to know you are a failure! If you (Dovetel) have done all your strategic plans and business analysis considering your game field environmental factors well and convinced yourself that you are a success, no one else can tell you otherwise. Put it in action, sisi yetu macho!

Kwa kukusaidia tu in case ume-overlook kitu: Watanzania wengi elimu yao duni, sio watumiaji wakubwa wa data services wa kutegemea sana. Wengi wao wahahitaji simu for voice communications tu. Pamoja na kwamba bei ni kitu critical cha kuwasogeza, initial investment pia ni ishu. Kampuni mpya ya GSM ni likely zaidi kuwa win kama ikija na strategy nzuri ya bei (with quality upfront ofcourse) maana watanunua tu sim card na kupachika kwenye existing handset. CDMA based company ikijaribu hilo, jibu lake tutalipata kwa Dovetel kama ni tofauti na makampuni yaliyokwisha kujaribu!

Nakubaliana na wewe kwamba watanzania ni wafata mkumbo, and that's what will make it difficult for CDMA to win against GSM maana mkumbo unaofuatwa sasa hivi ni wa GSM. But since I don't know what plan Dovetel has to change this situation, I wouldn't speak much for them. All I can predict is not a different death row than that of TTCL and Benson online.
Nilipata bahati kuingia kwenye duka la hawa jamaa SASATEL (DOVOTEL) lililoko mtaa wa Jamhuri leo, nakubaliana na wasiwasi wako kwamba hawa jamaa wanaweza wakaangukia pua. Wakati naulizia tofauti ya huduma kati ya GSM na CDMA, akaingia jamaaa na swali lake la kwanza line zenu mnauza bei gani?. Akajibiwa line zetu ni bure, unanunua handset na unapata line bure. Akashangaa kuwe huwezi kupata line mpaka ununue handset, na ya bei ya chini ni 30,000/=. Wote waliokuwapo wakastuka, kibaya zaidi handset zenyewe hazivutii machoni, moja ya vigezo kwa watanzania ni kuvutia kwa handset na wala si mawasiliano tu. Ukweli jamaa wana kazi kuweza kulipata soko la Tanzania, walijitetea kuwa gharama itakuwa nafuu lakini tuliokuwapo hatukuguswa vya kutosha ukizingatia ipo TIGO tayari yenye gharama nafuu, ni kununua line tu na handset yako ile ile.
 
Ni kweli kuwa lazima ununue HANDSET kwani Line zao (CHIP) huwezi kuweka katika simu za GSM nikimaanisha lazima HANDSET iwe ya CDMA shughuli ndio inaanzia hapo,ila kuna simu zao zina Line 2 yaani GSM na CDMA Duuuh kazi kweli kweli.
 
Hizi zenye line 2 pia nimeziona, zinaenda kwa 180,000/=. La msingi wanahitaji mbinu nyingine za kuliingia soko la sivyo litawashinda kabla hata ya kuanza. Kwani kuna tofauti gani kati yao na TTCL mobile?, umeona jinsi TTCL mobile yalivyo washinda. Binafsi naamini juu ya mambo 3 hivi,
1. Unafuu wa gharama.
2. Teknolojia
3. Uhuru wa kutumia handset mtu aipendayo.
Inawezekana wakawa na gharama nafuu, inawezekana wakawa na teknolojia, lakini vipi uhuru wa mtu kutumia handset aipendayo?. Watumiaji wengi hapa bongo wangependa kuringishiana kwa uzuri wa handset, hapa watakuwa hawaupati. Hata kwenye teknolojia napo naona kuna kasoro, kwa handset niliyonayo na kwa mtandao niliopo naweza kupiga picha na kudownload kwenye internet kiurahisi tu lakini naona hapa sitapata nafasi hiyo. n.k.
 
Nchi ndogo makampuni mengi ya simu. sasa vipi kuhusu uchumi wa nchi? vipi last cunsumers yaani watumiaji kuhusu quality of serivices je ni sawa na za kimataifa?

lazima wachumi au mamlaka husika ilichunguze hilo.
kuwa na makampuni mengi ya simu sio tatizo, na kwa taarifa yako kuna makampuni zaid ya 4 bado hayajaanza...ikiwemo ya Yusuph Manji, ambaye anadai anatafuta muwekezaji ampige, inaitwa MyCell (T) ltd, alipata leseni zaidi ya mwaka sasa...sheria za TCRA zinaruhusu muwekezaji yoyote kuomba leseni ya kutoa huduma ya mawasiliano ili mradi tu masafa(frequencies) anayotaka kutumia yapo...kuhusu quality inakuwa regulated ila watanzania wengi hawajui what is good quality...watu wengi wa nje wakija hapa ndio utasikia wanallalamikia sana huduma za baadhi ya kampuni...hasa ile kubwa ile....

sasatel wanaweza wakatumia nafasi hiyo, maana huduma zilizopo ni mbaya na bei juu...
 
Nilipata bahati kuingia kwenye duka la hawa jamaa SASATEL (DOVOTEL) lililoko mtaa wa Jamhuri leo, nakubaliana na wasiwasi wako kwamba hawa jamaa wanaweza wakaangukia pua. Wakati naulizia tofauti ya huduma kati ya GSM na CDMA, akaingia jamaaa na swali lake la kwanza line zenu mnauza bei gani?. Akajibiwa line zetu ni bure, unanunua handset na unapata line bure. Akashangaa kuwe huwezi kupata line mpaka ununue handset, na ya bei ya chini ni 30,000/=. Wote waliokuwapo wakastuka, kibaya zaidi handset zenyewe hazivutii machoni, moja ya vigezo kwa watanzania ni kuvutia kwa handset na wala si mawasiliano tu. Ukweli jamaa wana kazi kuweza kulipata soko la Tanzania, walijitetea kuwa gharama itakuwa nafuu lakini tuliokuwapo hatukuguswa vya kutosha ukizingatia ipo TIGO tayari yenye gharama nafuu, ni kununua line tu na handset yako ile ile.

Aya sasa! Nimetukanwa sana humu kwa kuipinga hii CDMA strategy. Angalia sasa! Ni obvious kabisa kuwa hawakufanya end user research ya kutosha kama reaction za watanzania wakiambiwa wanunue handset ndio hizo.

Kimweri where are you? Please come and tell Shedafa how much better CDMA is Vs. GSM maybe he will understand and buy one of those crap phones.

Nikiangalia bei zao naona sio bora kuliko makuampuni mengine, simu ndo hivyo, coverage DSM peke yake!
Sasa wanategemea vipi kuiba market share ya Tigo,Celltell,Voda, Zantel kama ndo hivyo? Maana inabidi waiibe kweli coz DSM kila mtu ana Line tayari, wateja wapya ni wachache sana.

Best of luck.
 
Jiulizeni nini kilicho wafanya TTCL wakadondokea pua kwenye mobile phone? Ni hizi hizi CDMA wabongo hawapendi hizi mpaka sasa wateja wote wa TTCL wamebaki wafanyakazi wenyewe wa humo humo unajua mtu ananunua simu yake lakini mfukoni ana line kama 3 au 4 hivi sasa akinunua simu yenye CMDA maumivu kwake. Na hizi CDMA huwezi muuzia mtu kama unauza unauza pamoja na line yake. Waangalie wafanye utafiti mdogo tu waende pale K/KOO au shule ya uhuru waangalia wachukue sample hiyo sio kufanya utafiti bungeni au unaenda posta pale unafanya utafiti huwezi pata majibu nenda kwa watu wa hali ya chini utapata majibu ya soko lako.
 
Aya sasa! Nimetukanwa sana humu kwa kuipinga hii CDMA strategy. Angalia sasa! Ni obvious kabisa kuwa hawakufanya end user research ya kutosha kama reaction za watanzania wakiambiwa wanunue handset ndio hizo.

Mkuu Kang kwani TTCL imeishia wapi na zile mobile phone zake? Mpaka leo kampuni imesha kufa wanaona aibu kutangaza tu wameingia hasara sana na haya ma CDMA watu hawayataki wala kusikia.
 
kama ni hivyo hii biashara imewashinda mapema kabisa. huwezi kutegemea watz kununua simu kwa ajili ya line ya kampuni moja tu, na ukiichoka huwezi kuiuza, halafu bora simu zenyewe zingekuwa na mvuto!
 
Kwani hamna uwezekano wa kubadili chip zao zikaingia kwenye cmu za kawaida? mi nadhani wangehangaikia hilo, kubadili shape ya line zao hapo ndo mambo yange kuwa mswano.

All in all mimi nawakaribisha sana, kwani najua ushindani wao utasaidia garama zishuke zaidi.
 
Tatizo sio size wala shape ya chip. Ni technolojia ambazo hazipo compatible yaani kama uingize DVD kwenye CD player, hakuna jinsi zaidi ya kununua deki mpya.
 
Jamani wafanyakazi wa Sasatel kama mpo naomba mnitafute kwa private msg niwape consultancy ya BURE!!!

Market penetration strategy yenu ni ZERO!
 
US coverage ya maana broadbandwise inatoka Sprint with their EV-DO CDMA based network.T-mobile sux because of holding on to GSM.BUT the USA has the capital and the ability to hold on to expensive technlogies..,and they still depend on CDMA,we actually don't.When you talk about roaming how many tanzanians travel abroad?or even hold passports?!

ofcourse support ya handset manufacture's is important if TZ has to thrive in CDMA,we should abandon Nokia,same way telcos abandoned Erricson etc..,cost effective should be a way to go..,
am sure LG,samsung,HTC have enough handsets in their current lineup to end this nokia GSM dominance and provide user friendly handsets to tanzananians.

Mkuu,

Death to Nokia?

Labda kama tunaongelea Nokia equipments for Mobile Phone companies.

Ila huku kwa walaji naona market research yao imeonesha kwamba watu wanapenda muziki.

Cheki promo yao ya sasa ... wanakwambia nunua simu yenye muziki mkubwa ... kisha piga huo muziki kwa sauti.

Shows where consumer preferences lie huh? It's not about GSM or CDMA at all.
 
wangechagua GSM wangepata faida chapchap,lakini in their future wangehitaji fanya massive investment of new infrastructure!tell this to some serious shareholders and they will tell u ur mad.

Mkuu kimweri,

Hapo umekosea kidogo. Smart investors do care a lot abt "faida ya chap chap". Cash flow ndio inajenga au ama kuua kampuni, sio matumaini ya kuwa "low cost operator".

Kama kweli kuna uwezekano wa "kupata faida ya chap chap" with GSM basi they should have started with GSM, then baada ya kupata hiyo faida ya chap chap wafante re-investment into CDMA in pursuit of "low cost operator" objective.

My friend, once the cash dries up it doesn't matter what were your intentions. Ni kama binadamu ukiishiwa damu.
 
I think you have a symptom ya shallow minded desease too, do you think any Investor anaweza kuja kuwekeza mahela yake sehemu yeyote na kurudia makosa ambayo wameyafanya wenzake? bila ya kufanya rigorous research on economical,political,cultural,social, marketing niche issues? wewe utawekeza mia mbili yako kwenye kitu ambacho unajua hakitalipa? poleeeee

Mkuu agika ... taratibu.

Tayari wameshafanya mistake KUBWA ya kumsahau end user. Inaonekana ni kampuni ya maengineer ... yaani wanataka end user anunue line kwa tshs. 30,000?

na kwenye promo yao ya internet iko hovyo. Eti 3GB free* huku wanasema lipa Tshs. 120,000 kwa mwezi.

Two big mistakes.

They have failed to undercut or even match Benson Informatics (a fellow CDMA ISP) who rules in Dar and Arusha for heavy internet users.

They have failed to undercut or match Zantel who rules Dar, Arusha, Zanzibar, probably other regions too in low cost pay-as-you-go internet services.

With Tshs. 30,000/- connection fee (disguided as handset price) man they are far behind other telecom players.

Bado hujaona mistakes mkuu?
 
Innovation yeyote ambayo hakubaliwa na wateja ni ngumu sana kutawala soko, mfano mzuri ni Microsoft walipotoa gaming box ambayo ilikuwa unaweza kucheza na majirani zako kwa kutumia internet connections ilikosa mnunuzi kwani by that time hakukuwa na watumiaji wengin wa internet kama sasa.

Kwahiyo hata hiyo CDMA inawezekana ikajivuta kidogokidogo kwani haiwezi kuchukua kasi wakati sio industrial standard until and then lazima GSM itaendelea kutawala.

Lakini ni vizuri tukawa na new player in the industry kwani itatupa nafasi ya kufanya choice ya product tunayoitaji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom