Sasa Yanga tumeanza ligi!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Ingawa inafananishwa na picha za kihindi lakini no sweti,JKT RUVU amekiona cha moto!
Bado simba na wajinga wajinga wenzie,tena hao simba ndio ninausongo nao balaa.
 
Nasikia Simba wanataka kushitaki CAF, FIFA na CAS ili kutaka kadi ya Emma Okwi ifutwe ili acheze na Yanga tarehe 3 Oktoba.......

Wanadai kadi ya Okwi( ambayo ilikuwa ni straight red card) isipofutwa hawaingizi timu uwanjani na wanaenda mahakamani..........

Lol!!!!
 
Mkuu hata mimi nimeisikia hiyo.
Tena nasikia siku hizi wamehamia TFF ili kuhakikisha mambo yanakwisha kimya kimya ili acheze tar3.10
 
Mbona mashabiki wa simba naona kama hamjafurahi Yanga kushinda?Ebu acheni hizo bana!
 
Ingawa inafananishwa na picha za kihindi lakini no sweti,JKT RUVU amekiona cha moto!
Bado simba na wajinga wajinga wenzie,tena hao simba ndio ninausongo nao balaa.

heeeee na wewe ni anti mtakatifu tom chilala nini! mbona kwenye kufungwa watu hawaonekani..
 
Moderators, hizi thread za vilabu kama hii inayohusu Yanga ichanganyeni kwenye respective "special threads".

So, please pelekeni hii thread ya Yanga kule Yanga Special Thread.
 
Back
Top Bottom