Sasa waweza tuma SMS bure

Mbona baada ya kuwatumia sms watu 4, sa ivi siioni Icon ya send sms? Nataka ku-add watu wengine,, naomba ufafanuzi.
 
shukrani kwa taarifa mdau
Brethren, waswahili husema "kizuri mgaie na mwenzio" JF ndio ndio wenzangu. Kwa sasa kwa "Sisi" tunaopenda kutumia fursa za bure kurahisisha mawasiliano tumepata fursa Mpya to GMAIL ambapo hata bongo sasa tunaweza kutumiana sms kwa kupitia account yako ya GMAIL. Inakuwa hivi; Ukishaifungua utaona upande wako wa kushoto utaona Icon ya Send SMS ingiza namba ya mtu kisha i-save na baada ya hapo rudi tena upande huo huo utaona Icon ya Chat search lile jina ulilosevu kisha utaletewa optins ikiwepo ya kutuma SMS click hapo kisha tuma ujumbe wako.

Kwa sasa ni Tigo na Vodacom tu ndio wanaosapoti huduma hii, na unapata SMS hamsini lakini kama utazimaliza basi wawezapata nyingine kwa mfano; kama ukimtumia mtu SMS kisha akakujibu, SMS hio itaonekana kwenye Icon ya chat kwenye Account yako ya GMail na hapo utakuwa umepata bonasi ya sms tano (5) zaidi kwa hio kama watu ishirini ukiwatumia sms 20 ina maana utakua na sms 100 zaidi. Haya mawasiliano ndio hayo.

Jamani nimeipenda tu hii huduma nikaamua tushee pamoja na sio kwamba mimi ni agent wa hao watu. Siku njema kwenu
 
Ipo Mpwa wangu, refresh kwanza itakuepo, add as many as you can, be blessed

Siioni hiyo icon mkuu natumia browser Mozilla firefox 4.0 Beta 1
 
Nashukuru mkuu kwa kushare nasi vitu vizuri nachat na washikaji kwa sasa bravoooooo
 
Back
Top Bottom