Sasa waweza tuma SMS bure

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,486
86,002
Brethren, waswahili husema "kizuri mgaie na mwenzio" JF ndio ndio wenzangu. Kwa sasa kwa "Sisi" tunaopenda kutumia fursa za bure kurahisisha mawasiliano tumepata fursa Mpya to GMAIL ambapo hata bongo sasa tunaweza kutumiana sms kwa kupitia account yako ya GMAIL. Inakuwa hivi; Ukishaifungua utaona upande wako wa kushoto utaona Icon ya Send SMS ingiza namba ya mtu kisha i-save na baada ya hapo rudi tena upande huo huo utaona Icon ya Chat search lile jina ulilosevu kisha utaletewa optins ikiwepo ya kutuma SMS click hapo kisha tuma ujumbe wako.

Kwa sasa ni Tigo na Vodacom tu ndio wanaosapoti huduma hii, na unapata SMS hamsini lakini kama utazimaliza basi wawezapata nyingine kwa mfano; kama ukimtumia mtu SMS kisha akakujibu, SMS hio itaonekana kwenye Icon ya chat kwenye Account yako ya GMail na hapo utakuwa umepata bonasi ya sms tano (5) zaidi kwa hio kama watu ishirini ukiwatumia sms 20 ina maana utakua na sms 100 zaidi. Haya mawasiliano ndio hayo.

Jamani nimeipenda tu hii huduma nikaamua tushee pamoja na sio kwamba mimi ni agent wa hao watu. Siku njema kwenu
 
Aika mbe, ila siku hizi kupiga simu ni cheaper kuliko kutuma SMS
 
sisi tusio na hizo gmail account inakuaje? Au ndio inatubidi kuitafuta hiyo bure ...ndio tujiunge!! Lol.
Twakushukuru kwa hii taarifa.
 
haya asante pia, yeah ni lazima uwe na account ya Gmail Mpwa, sio ndio vya bure vilivyo? but at least we can communicate zaidi ukizingatia hali ya mafuta na uchumi wetu "uliokua sana"
sisi tusio na hizo gmail account inakuaje? Au ndio inatubidi kuitafuta hiyo bure ...ndio tujiunge!! Lol.
Twakushukuru kwa hii taarifa.
 
kumbe maana mi nilikuwa nakiona halafu nakipotezea kumbe kina dili ngoja nianze sasa hivi..
 
Mfanyekazi mnawaza ku'chat wabongo, hakika haya maendeleo ya teknolojia yatazidi kutudidimiza waafrika.
 
Hiyo ssa co huduma ya bure wakati unapotuma sms c nilazima uwe online?then internet unatumia bure au unalipia?
 
Msijaribu inakula sh 60 kwa unamtumia sms

usilie we ulie mpweke..mpwa sio kweli kabisa mamaa didy yuko mbeya sasa alidai nimtumie crdt yuko mbali na sehemu ya kadi nikamtumia buku nikamwelekeza aingie free msg za tigo ..alipoingia akapiga simu sehemu ikassha kabisa nikamtwanga na mamboyet ya Gmail...tumechat mpaka basi sasa jiulize hela ilikaatwa wapi...
 
Jamani kwani mtu akikijulisha namna ya kutuma sms ndio kusema hufanyi kazi?kwanza tangu lini mtu akafanya kazi usiku na mchana? si vyema tukawa wapinzani wa kila kitu mwishoni tutaonekana wajinga, nilichosema ni jinsi ya kutuma sms kwa gmail bure, sijasema tuache kazi tuanze kutumiana sms......haya Mpwa labda degedege limekushika. Thanks
Mfanyekazi mnawaza ku'chat wabongo, hakika haya maendeleo ya teknolojia yatazidi kutudidimiza waafrika.
 
Jamani kwani mtu akikijulisha namna ya kutuma sms ndio kusema hufanyi kazi?kwanza tangu lini mtu akafanya kazi usiku na mchana? si vyema tukawa wapinzani wa kila kitu mwishoni tutaonekana wajinga, nilichosema ni jinsi ya kutuma sms kwa gmail bure, sijasema tuache kazi tuanze kutumiana sms......haya Mpwa labda degedege limekushika. Thanks
<br />
<br />
by the way hajalazimishwa ye afanye kaz mafisad wanufaike si tuendelee kuchat, ila naomba kuuliza apo mkubwa na unaemtumia si mpaka na ye awe na account gmail au? Naomba maekekezo tafadhali.
 
duh hii lili nalo neno, ok thanks, haya fuatilia maelekezo usiulize wakati maelekezo yapo, mmh haya

Back
Top Bottom