sasa Wakenya kumiminika Tanzania kama mvua

Naona unatafuta ligi ngoja nifunge mdomo wangu

Nilimwaga ukweli, then ukakurupukia kujibu bila kufikiri ama kuelewa nini kimeandikwa. Tambua kuwa, sijaja kuropoka, hapa JF ni shule ya elimu dunia. Kuna madaktari humu na watu waliobobea kwenye fani zao. Sina bifu na wewe kwanza sikujui ila nilikujibu tu baada kuona unakosoa kitu cha ukweli kwani sikukuelewa kabisaaa!
 
kwanini wakenya wanapata kazi kiurahisi hapa tz kuliko watz wanavyopata kazi kenya?? ukiwa na hilo jibu ndio utaelewa kwanini tumeamua kuipa hii nchi kwa wakenya

Hawana excuse katika kazi kama wa TZ kama vile kufiwa na kuku mtu haendi kazini, mbuzi akifa haendi kazini, harusi ya jirani, yuko kwenye kamati anaomba ruksa wiki, kuuguliwa, lunch nusu siku, hapo mtu alikwenda kunywa chai masaa mawili, namaanisha watanzania wanatafuta sababu yo yote ili mradi asifanye kazi, na sasa hivi wamegundua kukiwa na maandamano ya ...., hao wamo wengine eti wanakimbia mabomu. Nikiwa na kampuni yangu siajiri M-TZ hata mmoja.
Wakenya waingie tu TZ wawafundishe nini thamani ya kazi.
 
Wewe ni kilaza nilijua tu kuwa wewe ni Mkenya ndio maana unajifagilia na kuwaona ndugu zako bora kuliko Watanzania.Angalia maneno niliyoyapaka rangi bisha kama si Mkenya.

Mbona hakuna maneno uliyopiga rangi, mie sio kwamba nawafagilia ila wanaijua sana ela akiikamata kuitoa ni issue (kwa maana nyingine sie watz ni wema sana kuliko uwezo wetu na maneno yote niliyooandika nilikuwa ninamaanisha hivi when you compare wakenya na watz. Mie Mtz mwenzako mdau usihofu kama ni mie ni mkenya nasi nitakuwa nimebarikiwa kuijua Tanzania kuliko mtz mwenyewe). Hao jamaa wala sio bora kuliko watz katika maisha mazima ya kila siku, mie nimewaangalia kwa jicho moja la kiuchumi lakini ukija kwenye other factor mtz yupo juu na ndio maana wao wameweza kufanya kazi huku kwetu bila shida wakati sie kuingia kwenye vijiji vyao kupiga kazi katika mazingira huru ni kazi). Hapa tuna-share uzoefu tu kwani hata Kenya kwenyewe kuna watu wachovu tu wengi kushinda huku tatizo wao wakipata fursa ukifanya makosa kidogo wanakumaliza alafu wao wana-shine. Fuatilia vitu vingi kuanzia kuvunjika kwa Afrika mashariki 1977 jamaa walibaki na mali nyingi sana. Mie nilisema acha waje tupambane nao maana adui yako akija wakati mwingine pambana nae huenda ukaiba mbinu kikubwa mamlaka zinazohusika zisimpe nguvu sana kama kumilki ardhi na vitu kama hivyo. Pale ambapo mnakutana watu aina tofautitofauti ndio pana maendeleo siku zote na ndio maana kama binadamu tunatakiwa sometimes kuwa mobile incase umekaa sehemu moja ramani haisomi unajaribu pengine kama unaweza kushift kama hauwezi unakomaa hapohapo
 
Hawana excuse katika kazi kama wa TZ kama vile kufiwa na kuku mtu haendi kazini, mbuzi akifa haendi kazini, harusi ya jirani, yuko kwenye kamati anaomba ruksa wiki, kuuguliwa, lunch nusu siku, hapo mtu alikwenda kunywa chai masaa mawili, namaanisha watanzania wanatafuta sababu yo yote ili mradi asifanye kazi, na sasa hivi wamegundua kukiwa na maandamano ya ...., hao wamo wengine eti wanakimbia mabomu. Nikiwa na kampuni yangu siajiri M-TZ hata mmoja.
Wakenya waingie tu TZ wawafundishe nini thamani ya kazi.

kwa kweli japokua mie ni mtz lakini hapo umesema ukweli kabisa...kama hapa tu kazini kwetu unasikia mtu akishamaliza kazi yake saa tano asubuhi anaenda nyumbani...wakati bosi anajua bado anafanya kazi mpaka jioni...tabia hiyo sio nzuri ya uvivu na ndio maana wenzetu wanakuja kutuchukulia kazi zetu alafu sie tunabakia kulalamika tuu... juzi MD wetu akatuambia kua yuko tayari kuleta wafanya kazi kutoka UK or KENYA or south africa kuliko kuajiri watanzania..kwa sababu rekodi aliyonayo ya watanzania katika ufanisi wa kazi ni mbovu...ni aibu kwa sisi watanzania mpaka kufikia hatua ya kufikiria namna hii..tufanyeje tuweze kubadilika na tuwe wachapa kazi kama wenzetu?
 
Nilimwaga ukweli, then ukakurupukia kujibu bila kufikiri ama kuelewa nini kimeandikwa. Tambua kuwa, sijaja kuropoka, hapa JF ni shule ya elimu dunia. Kuna madaktari humu na watu waliobobea kwenye fani zao. Sina bifu na wewe kwanza sikujui ila nilikujibu tu baada kuona unakosoa kitu cha ukweli kwani sikukuelewa kabisaaa!
Unaongea vitu ambavyo huna utafiti ambao ulishafanya mimi nawajua Watanzanian walivyo utendaji wao na Wakenya vilevile kwa hiyo siwezi kubishana na mbumbumbu kama wewe nabishana na mtu ana uhakika na kile anachoongea.
 
Huo mkataba unaosema sisi na Wakenya ni damu moja ukoje?? Uwekwe hapa tuone maudhui yake na si maneno yasiyokuwa na Tija, pamoja na hayo mimi siwaamini viongozi wetu hata kidogo, anaweza kusaini mkataba bila kujua nini kilichoko ndani yake. God help us!!!
 
kwa kweli japokua mie ni mtz lakini hapo umesema ukweli kabisa...kama hapa tu kazini kwetu unasikia mtu akishamaliza kazi yake saa tano asubuhi anaenda nyumbani...wakati bosi anajua bado anafanya kazi mpaka jioni...tabia hiyo sio nzuri ya uvivu na ndio maana wenzetu wanakuja kutuchukulia kazi zetu alafu sie tunabakia kulalamika tuu... juzi MD wetu akatuambia kua yuko tayari kuleta wafanya kazi kutoka UK or KENYA or south africa kuliko kuajiri watanzania..kwa sababu rekodi aliyonayo ya watanzania katika ufanisi wa kazi ni mbovu...ni aibu kwa sisi watanzania mpaka kufikia hatua ya kufikiria namna hii..tufanyeje tuweze kubadilika na tuwe wachapa kazi kama wenzetu?
Tatizo wewe una shule ndogo,na huyo MD alikuwa anaongea na wewe au na wafanyakazi wa level kama ya kwako kwa sababu alijua huna shule upeo wako ni mdogo na huwezi hata kumwuliza swali unaogopa kufukuzwa kazi.Kwanza huko Ulaya huyo MD wenu alitaka Kuleta wafanyakazi wenye sifa gani?Kwa taarifa yako wazungu wanaokuja kufanya kazi Africa wengi wao kule kwao si wataalamu unakuta walikuwa wauza magazeti,mafundi gereji, au wauza mafuta kwenye petrol station.Wakija hapa kwa sababu wewe hujasoma ukimwona mzungu na shule yako ndogo unaanza kumnyenyekea kwamba anajua.Mtanzania mwenye shule yake nzuri huwezi kumpeleka peleka tu anafanya kazi kwa kufuatana sheria za kampuni anayofanyia kazi.Ni watanzania wangapi ambao ni ma MD na wanaongoza mpaka wazungu kwenye makampuni ya Wazungu hao hao au wana nafasi za juu kwenye hayo makampuni ya Wazungu unayoyajua hapa Tanzania na wewe unawajua kama wewe si kilaza unaongea vitu ambavyo huna data navyo
 
hivi wewe ambae una shule kubwa embu tueleze umeshawahi kuona wabongo wakifanya kazi? umeshawahi kuingia ofisi za serikali ukaona watanzania wanavyofanya kazi...ingia taasis binafsi ambazo zina watanzania ndio utakimbia kabisa...sisemi ni watanzania wote wako hivyo lakini majority yetu ni wavivu..huo ni ukweli utake usitake na mifano ipo naiona kila siku hapa bongo....wabongo wana jeuri hasa umkute ana position kubwa basi ndio ataona yeye ndio yeye atadharau wengine. Nimeshaingia ofisi nyingi hapa na zingine ndio unakuta mpaka utoe hongo mtu akushuhulikie sasa hizo ni work ethics gani? wabongo ni wavivu wana dharau na kiburi hasa wakijiona wana some sort of power huko makazini
 
Hujui haki yako kisheria ndio maana una mawazo kwamba hapa Bongo ni mpaka utoe hongo ndio ushughulikiwe tatizo lako.Tena huko Kenya ndio hongo iko wazi wazi hadi mtaani kwa taarifa yako.Huko Kenya ukimwomba mtu akuonyeshe uani tu anakudai pesa kwa hiyo ndio unawaona bora kuliko Watanzania?
 
khaaa eti hajayasoma vizurinadha
ni huwa haelewagi mamikataba na mambo kama hayo yanasemaje

uelewa wake una walakini kila sikuy
eye ni kusaini kwa baht mbaya hataaa hajui jamani
Mama mama mamaaa!Wakuu ule usemi usemao nipishe nipite umedhirihika leo baada ya mkuu wa nchi hii kusaini makaratasi kadhaa bila kuyasoma kwa makini na mkuu mwingine mkali kweli kweli anayeongoza wizara ya mambo ya nje kukimbilia kwenye vyombo vya habari na kusifia boss kwa kusaini makaratasi ya kuchanganya damu na Wakenya
habari ya kushangaza kabisa tuliyoipata jioni hii eti kuanzia sasa hivi sisi na wakenya ni damu damu
hakya Mungu sikuamini hayo pale yule mzee mzima wa wizara ya mambo ya nje alipotangaza rasmi pale Nairobi
sasa kuanzia kesho tunapiga kambi pale Namanga na Taveta kufanya tathmini ya wakenya wangapi wataanza kumiminika kila siku kuingia Tanzania
sina hamu ila nafikiri tumekwisha,hakuna taifa lolote hapa Duniani linalo jiachia kiasi hiki
 
This is just but a propaganda. Nothing will change after signing of the said papers , uoga na ujinga ndio utatumaliza.
 
Hujui haki yako kisheria ndio maana una mawazo kwamba hapa Bongo ni mpaka utoe hongo ndio ushughulikiwe tatizo lako.Tena huko Kenya ndio hongo iko wazi wazi hadi mtaani kwa taarifa yako.Huko Kenya ukimwomba mtu akuonyeshe uani tu anakudai pesa kwa hiyo ndio unawaona bora kuliko Watanzania?

Kijana.....You are illiterate, period! Yaani wewe kupata computer ukubwani ndo kisingizio cha kuandika utumbo? Tafuta starehe nyingine. Unadai umesoma lakini kumbe yote unayoandika una base na unayoyasikia toka kwa watu then una generalize. Nimeishi Kenya miaka 6 na hata siku moja sijawahi kutoa rushwa baada ya kuomba msaada. Rushwa ina sehemu yake japo ndiyo Kenya rushwa imekithiri shinda hapa Tanzania, ila wenzetu ni wachapa kazi. Wewe ni mpuuzi tu ulioishiwa mawazo, yaani umehamua kubisha ili usikike. Rais Makapa alisemaga watanzania ni wazembe wa kufikiri (wewe mmoja wao), na ni wavivu kwani yeye hakuona hilo? It's know kwamba watz ni wazembe, na pengine usikute wewe hata kazi huna uko kijiweni ila umehamua tu kubishana. You are patheitic for real.
 
Kama unasema Kenya hakuna rushwa na umeishi miaka sita,basi wewe ulikuwa mmachinga muuza viatu na mitumba mtaani na hujui jinsi Serikali ya Kenya inavyoendeshwa.Kama unasema watanzania ni wavivu umeshafanya utafiti gani kujua kwamba ni wavivu.Wewe ni mbumbumbu unaongea vitu ambavyo huna data navyo wala huna utafiti uliofanya kuonyesha watanzania ni wavivu unaongea vitu kwa kusikiliza maneno ya wanasiasa au kusoma kwenye magazeti.
 
Kumbuka huko nyuma niliwahi kukuuliza "una miaka mingapi?" Hapa nilikuwa na maana yangu. Kwa nini unapenda kujibu utumbo? Nani aliyekuambia Kenya hakuna rushwa, na umesoma wapi katika mistari yangu kama nimeandika Kenya hakuna rushwa? This is the same stupidity na laziness I am talking about. Usiwe mvivu wa kusoma na kuelewa, jaribu kusoma uelewe context siyo kuandika habari za kuhisi then unakurupukia kujibu watu, haya ni mambo ya kijinga na utoto na ndiyo maana nikakuuliza kwa makusudi una miaka mingapi? Kupata fursa ya kutumia computer isiwe ishara ya kuandika ujinga ili uonekene kwenye quotes za watu, acha huo ujinga. Na kama unafanya kazi hapa Tanzania basi namsikitikia bosi wako kwa kukuajili. Kuna uwezekano mkubwa wewe ukawa kwenye kundi la wale mlioajiriwa kutokana na undugunization, kichwani hakuna kitu ila unajaza namba tu kutokana na kuwa mtoto wa shangazi ama mjomba na ndiyo maana taifa letu limejawa na incompetent people karibia kila idara kwa ajili ya hili. Mnalipwa mshahara ila hamna ufanisi wowote wa kazi, na ndiyo maana mda wa kazi mko mitaani kubwabwaja juu ya mpira wa jana, watu wakija hapa kusema ukweli mnajitetea kwa kukurupuka na kuandika mambo ya kuhisi.
 
..........aiseeh ! huu uzi una utoto mwingi mpaka umenikera. Nilitegemea mleta mada atatumwagia mabilateral aggreement tuyachambue lipi lina faida na lipi lina changamoto kumbe ujinga ujinga tuu. Sasa mleta mada anadai karasi hazikusomwa ila yeye ana uhakika ni mikataba ya kutuumiza, sasa yeye ksoma wapi kuthibitisha hayo ? soo pathetic ! mav....i yako !
 
Kumbuka huko nyuma niliwahi kukuuliza "una miaka mingapi?" Hapa nilikuwa na maana yangu. Kwa nini unapenda kujibu utumbo? Nani aliyekuambia Kenya hakuna rushwa, na umesoma wapi katika mistari yangu kama nimeandika Kenya hakuna rushwa? This is the same stupidity na laziness I am talking about. Usiwe mvivu wa kusoma na kuelewa, jaribu kusoma uelewe context siyo kuandika habari za kuhisi then unakurupukia kujibu watu, haya ni mambo ya kijinga na utoto na ndiyo maana nikakuuliza kwa makusudi una miaka mingapi? Kupata fursa ya kutumia computer isiwe ishara ya kuandika ujinga ili uonekene kwenye quotes za watu, acha huo ujinga. Na kama unafanya kazi hapa Tanzania basi namsikitikia bosi wako kwa kukuajili. Kuna uwezekano mkubwa wewe ukawa kwenye kundi la wale mlioajiriwa kutokana na undugunization, kichwani hakuna kitu ila unajaza namba tu kutokana na kuwa mtoto wa shangazi ama mjomba na ndiyo maana taifa letu limejawa na incompetent people karibia kila idara kwa ajili ya hili. Mnalipwa mshahara ila hamna ufanisi wowote wa kazi, na ndiyo maana mda wa kazi mko mitaani kubwabwaja juu ya mpira wa jana, watu wakija hapa kusema ukweli mnajitetea kwa kukurupuka na kuandika mambo ya kuhisi.
Mimi nimeajiri na sifanyi kazi ya kutumikishwa.Na ukweli unaosema ni upi kwamba Watanzania ni wavivu?Je umefanya utafiti wowote au una chuki binafsi tu na Watanznia.Ongea vitu ambavyo umevifanyia utafiti na una data za uhakika na si kuongea kama mbumbumbu au kwa vile unajua kutukana.
 
Dogo.. Ni ukweli usiofichika kwamba wakenya wanachapa kazi kuliko wabongo, nimeshuhudia kwa macho yangu dogo moja wa kenya anafanya kazi balaa, tatizo jingine kwa watz ni kama wewe, ubishi mwingi output sifuri, usharobaro ndiyo umefika, sasa sijui ni mfumo wa ujamaa ulitulemaza nashindwa kupata jibu, endelea kubishana, unfortunately I don't have much time to urge with you..
 
Hayo ni maneno mazuri sana. Sasa mimi na familia yangu twaja hivi karibuni. Nasikia kule tz kuna mishamba mikubwa hazitumiki. Na warembo je... Mimba nitapeana kwa wingi mpaka hata wake za watu ili nihakikishe kwamba nimesambaza damu ya ukenya kote kule bongo. Watz tafadhali mnikaribisheni nikija. Ningependa saaana niwe jirani wako.
 
Mama mama mamaaa!Wakuu ule usemi usemao nipishe nipite umedhirihika leo baada ya mkuu wa nchi hii kusaini makaratasi kadhaa bila kuyasoma kwa makini na mkuu mwingine mkali kweli kweli anayeongoza wizara ya mambo ya nje kukimbilia kwenye vyombo vya habari na kusifia boss kwa kusaini makaratasi ya kuchanganya damu na Wakenya
habari ya kushangaza kabisa tuliyoipata jioni hii eti kuanzia sasa hivi sisi na wakenya ni damu damu
hakya Mungu sikuamini hayo pale yule mzee mzima wa wizara ya mambo ya nje alipotangaza rasmi pale Nairobi
sasa kuanzia kesho tunapiga kambi pale Namanga na Taveta kufanya tathmini ya wakenya wangapi wataanza kumiminika kila siku kuingia Tanzania
sina hamu ila nafikiri tumekwisha,hakuna taifa lolote hapa Duniani linalo jiachia kiasi hiki

Kitakacho washinda ni sheria ya ulaji holela wa Mirungi.
Kule kwao ni sawa, lakini huko Bongo ni Mihadarati...sasa itakuwaje?
 
Back
Top Bottom