Sasa? Si mko poa! Kwa majina naitwa

Mogambi

JF-Expert Member
May 25, 2012
209
351
Vyenye nilikuwa napita, ghafula nikaona link ya jamii forums na iyo ilikuwa way back zenye tunasema ni miaka kadhaa, na nilipata kama nahitaji kujoin coz bila shaka ziko mambo za kujifunza. So vile stima ilikata kwa simu nilijua there might b time,guess this is the right time! Chukulia poa.
 
i guess wewe ni kule kwetu nyeri kwa kenya,
manake swahili yako kiko nakwakwama,
hapa tuko twajumuika wote hapana bagua mtu,
karibu jf,
 
Back
Top Bottom