Sasa RASMI gazeti la Mwananchi na TanzaniaDaima ni mali ya Chadema.

Unataka habari za magamba unaulizia mwananchi ama tz daima?what happened to uhuru na mzalendo?Mkuu unataka uone vitu vya ajabu ajabu kama vile samaki kuogolea juu ya mti?Ukitaka samaki unajuwa pa kwenda na ndege vilevile.
 
ccm ina wanawake chadema ina vijana wasomi na wasiosoma.
wanawake wananunua uwazi na risasi.
vijana wanasoma mwananchi,tanzania daima,nipashe nk.
kwa ukilaza wako ulitaka wasiangalie soko lao liko wapi?
 
Hakika sio siri tena kuwa gazeti la Mwananchi na TanzaniaDaima ni magezeti ya Chadema waziwazi na jana wamepata tabu sana kupata stori ya kuenda nayo leo.WameshIndwa kabisa kusema ukweli juu mkutano wa CCM jana jangwani....kwa gazeti kubwa kama Mwananchi hii ni aibu kubwa....

Hivi hapa wenye akili tutakuelewa kweli?kwa hiyo mlikaa mkasubiri habari gani muhimu mliifanya jana?
 
hawawezi toa habari ya CCM hakuna mtu atanunua hayo magazeti siku hiyo, au hufahamu watanzania wengi ni CDM? nani anunue gazeti lenye habari za CCM? kambwe siwezi poteza ela yangu kwa kusoma ujinga wa CCM.
 
Mwananchi ni gazeti pekee lililo ripoti kicho cha Mwenyekiti mstaafu wa CMD ambayo kimsingi hiyo ndo ilipaswa iwe habari kuu kwenye magazeti ya leo. Cha kushangaza magazeti mengine wanatuandikia marudio ya nyinyiemu kama habari muhimu
 
Hakika sio siri tena kuwa gazeti la Mwananchi na TanzaniaDaima ni magezeti ya Chadema waziwazi na jana wamepata tabu sana kupata stori ya kuenda nayo leo.WameshIndwa kabisa kusema ukweli juu mkutano wa CCM jana jangwani....kwa gazeti kubwa kama Mwananchi hii ni aibu kubwa....

acha uhuni kwani lazima waandike yaliyosemwa na vilaza wenu? kwani si mna magazeti yenu?si yaandike!
 
watu wengi wamekuwa waelewa, magazeti yakitoka na habari za CCM hakuna mtu ananunua, ili gazeti linunuliwe kwa wingi weka habari za CDM, sishangai kabisa Mwananchi na Tanzania daima wakiandika zaidi CDM kwani ndio habari zinazopendwa, nani anataka kusikia gamba lisilovulika la CCM?
 
Unataka habari za magamba unaulizia mwananchi ama tz daima?what happened to uhuru na mzalendo?Mkuu unataka uone vitu vya ajabu ajabu kama vile samaki kuogolea juu ya mti?Ukitaka samaki unajuwa pa kwenda na ndege vilevile.

Na Jambo leo
 
Andika wewe hapa uliyotaka waandike maana inaelekea unayajua. Au kawasimulie uliotaka wajue ahadi zilizodumu miaka 50 bila kutekelezwa
 
wakuu, mnajtesa kuwajibu hawa watu. Uksoma jina lake, alichoandka hutojisumbua kujibu
 
Stop being fool hata ccm wana magazet yao kama uhuru,mzalendo na majira sasa ni kwanini cdm wakiwa na magazeti yao inakuwa nongwa?unaweza kukumbuka uhuru walitoa stori gani siku ya tarehe 5 aprili npale ccm walipopoteza jimbo la arumeru?
 
2acha kuwa wanazi kama ni kweli mwananch hawajaandika kuhusu ccm basi wamekosea lazima wananch wapate update kuhusiana na progres zao,lile ni gazet linaloaminika na kununuliwa na watz wengi.
 
Mpaka usome mwananchi na Tanzania daima ndo yatasuza roho yako, acha upumbavu mbona sisi tulishaacha kusoma Uhuru, Mzalendo, Habari leo na Jambo leo hata nikikuta kipande cha magazeti hayo kimefungiwa kitumbua siri hicho kitumbua.

...ha ha ha,mkuu umetishaaaa!...hawa kiboko yao El,hawana lolote,kelele nyingi,but wait 015!
 
2acha kuwa wanazi kama ni kweli mwananch hawajaandika kuhusu ccm basi wamekosea lazima wananch wapate update kuhusiana na progres zao,lile ni gazet linaloaminika na kununuliwa na watz wengi.

...na TBC ambayo ni televisheni ya taifa,haiangaliwi na watanzania wengi km ilivyo gazeti la mwananchi?..kwnn hawakurusha mkutano wa CDM live?bt wa CCM wamerusha?...mbona cdm hawajalalamika?iweje nyie mlalamike?
 
Stop being fool hata ccm wana magazet yao kama uhuru,mzalendo na majira sasa ni kwanini cdm wakiwa na magazeti yao inakuwa nongwa?unaweza kukumbuka uhuru walitoa stori gani siku ya tarehe 5 aprili npale ccm walipopoteza jimbo la arumeru?

....si ndo hapo!sema ww Seif,maana wanaongea sn
 
Watu kama nyie ndo mnaishushia hadhi jf mpaka wakwe wanaogopa kuperuzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom