Sasa RASMI gazeti la Mwananchi na TanzaniaDaima ni mali ya Chadema.

Nani mnunuzi wa habari za ccm? Uliza uhuru na mzalendo kwa wauza magazeti kama yanawateja! Sijui wewe uko dunia gani. Watu WANATAKA MABADILIKO SIO SIFA ZA KIJINGA
 
Angalia nyuma gazeti la ccm mzalendo hbr za timu ya taifa kama wamezipa umuhimu unaotakiwa na timu leo inacheza. Gazeti la mwananchi linawajua wasomaji wake wanataka nini tofauti na Uhuru , mzalendo tbc habari leo na vigazeti vya kidini vinavyoendekeza na kufadhiliwa na Mafisadi wa ccm vinavyo fanya kazi ya kuchafua watu na kutojua mahitaji ya watanzania. IMEKULA KWAKO na MAGAMBA
 
MJIPANGE TENA SAAAANA TU! Kwa sasa siyo yanyuma tena ..'WAPENDA MAENDELEO TUNAJUA NI KITU GANI AMBACHO KUNAKIFANYA KWA FAIDA YAWATZ NA SI KUSHABIKIA VITU AMBAVYO HAVINA MSINGI WOWOTE.
 
Mimi sielewi tafsiri ya huu usemi wa toto huyu. Walitaka magazeti yaandike nini? Kwani si mkutano ulirushwa live? Kwan si malori yalibeba watu? Kwani si wamewaiga chadema, kwani wao si matajiri hawataki hata michango ya wanachama wake? Kwani ......................hata obama si masikini ndo maana akjawaomba wapenzi na mashabiki wake wamchangie fedha za kampeni. Nyinyiem hawana mbinu..........pipooooooooooz. Siku chadema ikichukua nchi sitaki wanifanyie chochote ila tu wanufaishe wananchi wote kwa kuondoa wiz serikalini, chadema msinifanyie chochoteee
 
enhee tene umenigusa mkuu maana nimeona habari moja kwenye gazeti la jambo leo limenikera kweli, eti ccm yafunika dara nzima hawa mi naona wamelala ilifunika wapi? Mbona mkutano ulifanana na ule wa udp wakati wakifungua kampeni za urais 2010, hakukuwa na jipya na sikuona ni kwanini chama tawala kuitisha mkutano kama ule baada ya chadema kuitisha wa kwao, ina maana hilo wazo lilikuwepo au liliibuka? Wanatakiwa sasa hivi wawe bize kutekeleza ahadi zao za 2010, wwao ndo wenye serikali hakuna haja ya kurudia ahadi! This is foolishness!

safiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Hakika sio siri tena kuwa gazeti la Mwananchi na TanzaniaDaima ni magezeti ya Chadema waziwazi na jana wamepata tabu sana kupata stori ya kuenda nayo leo.WameshIndwa kabisa kusema ukweli juu mkutano wa CCM jana jangwani....kwa gazeti kubwa kama Mwananchi hii ni aibu kubwa....

Haujui unachokisema ua unaweweseka.
Gazeti lilikuwa na Heading unayoitaka wakati linaanza kuchapwa
na gafla zikatoka habari za kifo cha makani kwahiyo kazi ikasimama ili
kubadisha stori. Na hiyo si mara ya kwanza kutokea ilishatokea kwa Amina Chifupa,
mabomu ya Gomzi na hata matukio mengine ya kitaifa.
 
Kweli wewe gamba,kulikuwa na story gani ya kuandika pale?au ulitaka waandike kuhusu kile kizee kilicholala Jozibag kuzinduka kikajikuta kipo Cdm square!!!Tumia akili kufikiri badala badala ya masaburi....
 
Hebu usitupotezee muda bwana. Mtu mwenyewe giza kuu sasa utayajuaje mambo ya kwenye mwanga? Tafuta nuru kwanza then ndiyo ulete hizo habari zako hapa!

Hakika sio siri tena kuwa gazeti la Mwananchi na TanzaniaDaima ni magezeti ya Chadema waziwazi na jana wamepata tabu sana kupata stori ya kuenda nayo leo.WameshIndwa kabisa kusema ukweli juu mkutano wa CCM jana jangwani....kwa gazeti kubwa kama Mwananchi hii ni aibu kubwa....
 
Hakika sio siri tena kuwa gazeti la Mwananchi na TanzaniaDaima ni magezeti ya Chadema waziwazi na jana wamepata tabu sana kupata stori ya kuenda nayo leo.WameshIndwa kabisa kusema ukweli juu mkutano wa CCM jana jangwani....kwa gazeti kubwa kama Mwananchi hii ni aibu kubwa....

Mkuu unaweza kuona ni habari kubwa kwako lakini kwao wenye gazeti wakaona ni upuuzi .Kwani CCM jana waliongea nini cha maana hadi Mwananchi lazima kuandika ? Je ilikuwa ni lazima mwananchi kuandika ndiyo iwe news ? Mbona TBC haikurudha live mkutano wa Chadema Jangwani na haikuwa aibu hadi leo useme haya ?
 
Hakika sio siri tena kuwa gazeti la Mwananchi na TanzaniaDaima ni magezeti ya Chadema waziwazi na jana wamepata tabu sana kupata stori ya kuenda nayo leo.WameshIndwa kabisa kusema ukweli juu mkutano wa CCM jana jangwani....kwa gazeti kubwa kama Mwananchi hii ni aibu kubwa....

Mkuu nimeshindwa kupata mantiki hasa ya post yako. Kwamba madhumuni ya mkutano wa jana Jangwani yalikuwa ni healines za kupendezesha CCM kwenye magazeti au kueleza agenda zilizotajwa kabla ya mkutano kitu ambacho gazeti kama mwnanchi liliandika kila kitu jana.Nape: Hatuna mpango kuwajibu Chadema leo
 
Hakika sio siri tena kuwa gazeti la Mwananchi na TanzaniaDaima ni magezeti ya Chadema waziwazi na jana wamepata tabu sana kupata stori ya kuenda nayo leo.WameshIndwa kabisa kusema ukweli juu mkutano wa CCM jana jangwani....kwa gazeti kubwa kama Mwananchi hii ni aibu kubwa....
atu

Watu wengine bwana umekalia umbea tu kwani lazima useome mwanachi au tanzania daima ili upate taarifa za ccm.kwan uhuru, mzalendo hayajatosha kukuabaisha issue za ccm...kwenda zako huko...usisabishe waniban
 
Hakika sio siri tena kuwa gazeti la Mwananchi na TanzaniaDaima ni magezeti ya Chadema waziwazi na jana wamepata tabu sana kupata stori ya kuenda nayo leo.WameshIndwa kabisa kusema ukweli juu mkutano
wa CCM jana jangwani....kwa gazeti kubwa kama Mwananchi hii ni aibu kubwa....

Mkuu Gizakuu,kweli ulikuwa kwenye giza kuu inamaana ulikuwa hujui?,mimi nilishagundua kitambo kuwa hili ni gazeti la Ma'gwanda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom