Sasa Raisi Jk ameanza kazi Heko CHADEMA kwa kumuamsha

Watu wananivamia tu, ndo washauri wa Wizara hii au nao wananidaka bila kuviangalia viyoyozi vya "Sayansi na Teknolojia"?

Invisible tumekuelewa sana ...nimecheka tuu pale niliposoma comment za watu wasiojua hata huyo wanae mjibu. Halafu patamu ni pale ulipo gonga senksi.
 
Maagizo hayo hayo ndiyo aliyoyatoa mwaka 2006 alipokuwa akitembelea wizara na hayajatekelezwa mpaka leo!
 
GO9G2103.JPG


Hizi AC zipo Wizara ipi???? Tena mbele?

Si mchezo

Wizara ya Sayansi inatumia 'analogue' Airconditioners.......wataweza kulidigitize taifa kweli? Halafu zimechoka mbaya
 
Hakuna lolote sioni kama kuna kitu chochote amefanya zaidi ya kuendeleza porojo tuu. Kwa nini atembelee wizara asikilize hotuba weee halafu ajidai kuwakatisha katisha mawaziri wake eti ndo utendaji hakuna lolote. kwanza angeanza na kuzishughulikia zile kashfa zoote za deep green meremeta, richmond BOT na kadhalika halafu angekuja EPA, hapo kidogo angekuwa ameanza sasa hizi porojo za kutembelea nakutalii kwenye mawizara hakuna tija yeyote ileee
 
Watu wananivamia tu, ndo washauri wa Wizara hii au nao wananidaka bila kuviangalia viyoyozi vya "Sayansi na Teknolojia"?

Mkuu watu huwa hawaoni makosa ya muhimu kama haya. Kuweka AC mbele ya jengo namna hii ni uchafu. Archtect wa jengo hili hakuprovide for ac locations. Hata hivyo hao waliozifunga wangepaswa kuzificha na sio kupachika front kama vile lipsick za madem.
 
Mkuu watu huwa hawaoni makosa ya muhimu kama haya. Kuweka AC mbele ya jengo namna hii ni uchafu. Archtect wa jengo hili hakuprovide for ac locations. Hata hivyo hao waliozifunga wangepaswa kuzificha na sio kupachika front kama vile lipsick za madem.

Invisible alimaanisha aina ya AC na uzito wa wizara?
 
Hivi kwenye baraza la mawaziri huwa wanajadili nini? Hivi huko kutembelea majengo ya wizara ndio kuchapa kazi? Mimi nafikiri kuchapa kazi ni kwenda kuona kwenye eneo la kazi kama vile sayansi na teknolojia inavyotumika katika kuleta maendeleo (viwandani, mashuleni, vyuoni, mahospitalini, n.k.) na kuweka sheria na sera nzuri - coherent policies. Huko ni kupoteza fedha yangu ninayolipa kodi.
 
Binafsi sioni umuhimu wa hizo ziara kwenye mawizara zaidi ya kuongeza tu congestion kwenye jiji letu hili lenye foleni kila kona, kwa misafara yake. Kuna maeneo mengi sana na namna nyingi sana Raisi anaweza akajua km utekelezaji wa wizara fulani upo sawa na sio kwa kwenda wizarani. Wizarani anakagua nini ? Unaenda wizara ya maji kukagua nini wakati watu hawapati maji mitaani ? After all km suala ni kuonana na mawaziri kuna vikao vya baraza la mawaziri ambavyo yeye ni chairman. Na km hawaamini mawaziri wake c awapige chini.
 
Binafsi sioni kama ziara za izara.. Sorry, wizara, zina maana yoyote, ninataka atoe majibu ya maswali ya watz. Asidhani wa tz bado ni wajinga kama zamani,kinachotakiwa ni vitendo sio viini macho kama hivi. Nitaanza kumuamini nikiona nafanya maamuzi magumu kama kuwachukulia hatua mafisadi. Anazuga tu soon mtasikia yuko kiwanja kama kawaida yake.
 
Back
Top Bottom