Sasa Raisi Jk ameanza kazi Heko CHADEMA kwa kumuamsha

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
GO9G2103.JPG
GO9G1939.JPG
 
hongera sana Watanzania wapenda maendeleo ambao mmempa changamoto ya kutosha rais wenu
 
Huko ndo anaharibu zaidi, naona anaishia kuwaponda mawaziri wake.
 
Wakuu.
Wakati munawapongeza CHADEMA kwa kutoa amri kwa rais na Rais ameitikia wito na "ameanza kufanya kazi" kama munavyosema basi munasahau upande wa pili wa shilingi.

Ni kuwa Rais na CCM wanaanza kujipanga ili wapinzani wasiwe na la kusema inapofika 2015. Kama atafanya hizo kazi kama ambavyo anatakikana afanye itakapofika 2015 unafikiri kuna watu wataona umuhimu wa kubadilisha utawala?

Ninachokiona mimi ni ile ile tabia ya serikali kusema tunatatua matatizo ya wananchi lakini hakuna kinachoendelea. Kufanya ziara katika wizara bado hakujatatua matatizo waliyonayo watanzania.

Mumesahau ile semina elekezi ya mwanzo ya udhibiti matumizi ya fedha za serikali? Je hakuna ubadhirifu wa fedha za serikali?
Uchumi umekua wanavyosema,je ugumu wa maisha umezidi au umepungua?

Miaka kadhaa nyuma walisema tatizo la umeme litakuwa historia..leo hali ikoje?

Anachofanya Mkuu ni photo opp. tu ili wananchi waone na wasikie kupitia vyombo vya habari kuwa mkuu anafanya juhudi kubwa kuleta " maisha bora " kwa kila mtanzania. Tusikubali kupigwa bao kiulaini. Watanzania ni wasahaulifu...tena kwa kasi ya ajabu!
 
hana lolote, amezoea kutembea kla wkt, sa sfr za jamaica zmemuishia ndo kaamua kuuza sura kwnye mawizara!
 
kaaazi kweli kweli,alikwenda kupata kifungua kinywa hapo,,aende maeneo korofi arusha,udom,,,dowans pale akamalize matatizo,,,:lol:
 
GO9G2103.JPG


Hizi AC zipo Wizara ipi???? Tena mbele?

Si mchezo

Wakati wenzako tunasoma wewe ulikuwa unakimbia umande, unaona sasa faida ya shule za kata hata kusoma kwenye picha hujui. Hapo Ni Wizara ya Simu na Computers.

Nani aliyesema kuwa kuna mchezo hapo?
Karibu kwenye club
 
hongera sana Watanzania wapenda maendeleo ambao mmempa changamoto ya kutosha rais wenu

Kwamba amefanya nini sasa!!!!!!! Kupiga porojo tu? Tunapata hongera za lugha za kikampaini naona. Jamaa hana jipya. Nadhani anaelewana nao ili akienda azuge watanzania kama kawaida yetu. Tulidanganywa kwenye enzi za kuanzisha mtandao. Anamwandalia Lowassa urais. Tunataka amkamate mmilikiwa Dowans. Hatihitaji porojo
 
I think this worked well in 2006 I hope it will deliver this time. all the best JK ila muhimu kusikiliza mawazo ya wengine nje ya serikali yanaweza kuwa na mantiki
 
Watu wananivamia tu, ndo washauri wa Wizara hii au nao wananidaka bila kuviangalia viyoyozi vya "Sayansi na Teknolojia"?
 
Back
Top Bottom