Sasa nipo facebook,wanajf karibuni tuchat!

mbona hilo jina wapo kibao? umeweka picha gani? kama vipi tuchat hapa hapa. kwani jf hamna sehemu ya kuchat hadi tuje huko? tuchat hapa hapa bana. nambie wewe jinsia gani?
 
shemej ndio nn?...leo mambo yamekaaje?naona hukopeshi...habari yako?kaka mzima?
Mambo yako vizuri shem langu, kakako bukheri , yupo kanisani mida hii...

Mbona sijakuona kwenye party ya Judgement kumvalisha husninyo pete ya uchumba?
 
Mambo yako vizuri shem langu, kakako bukheri , yupo kanisani mida hii...

Mbona sijakuona kwenye party ya Judgement kumvalisha husninyo pete ya uchumba?

kwan mambo yameshaiva?husny hataniwi?ndo kakubali...?ala!
 
Duh nakumbuka niliambiwaga niandike kinyume cha kumbwa nikaandika bwaku...lol
Zamaniiii
Hahaha! Mwalimu atakuwa alicheka sana..

Kuna mtoto wa dadangu yeye aliambiwa aandike wingi wa maji akaandika maji mengi, tulichekaga nyumba nzima lol..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom