Sasa nimechoka naanika PM zote za wanaonitaka kimapenzi kupitia JF

Hapo nitonye atoki. Kuna nyepesi nyepesi zinasema nitonye akikosa wa kumPM anajiPM mwenyewe. Imekula kwako jimama.
Heri mie sijasema
Hahahaha! Akitajwa namwacha mbele ya kadamnasi narudi kwa husband wa ukweli cookie, ole wake!..
 
Dorice... Dorice... Dorice jina zuri kuliko matendo. Haya akutongoze nani wewe kiburushuti?? Umebandamana kama bao lakusukumia chapati.
 
Hahahaha! Akitajwa namwacha mbele ya kadamnasi narudi kwa husband wa ukweli cookie, ole wake!..
Halaf mbona taarifa nilizonazo mimi kupitia rais wa wabeba maboksi cookie ni -ke tena bonge la mrembo? mnanichanganya sasa.

Cookie i apolojaizi in advansi kama ban apigwe rais wa wabeba maboksi kwa uzushi. Tusemeni amen.
 
Hahaha! Mie najua ni kakake AshaDii au? Nimepata tena mshituko lol... Usiku mwema!
 
Wacha nisepe zangu! Good night my sweet wifi, niagie klorokwini, kabakabana wako hapo nje wanapiga story! Uniote mwaya!

Bora ukalinde ndoa wanasubiri wajewaseme tulijua SL hawezi kudumu kwa Nitonye. Haswa huyo lawyer ameanda na hati ya madai. Kaba anasubiri adake tonge lako. Lala unono my wifi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom