Sasa nimechoka naanika PM zote za wanaonitaka kimapenzi kupitia JF

Nijipange nini tena. Si uliniambia unanitaka nikakukataa. Sina jibu lingine. Tafuta mwingine, kwangu no packing
Hahahaha! Sasa anakutaka anakujua??..au vile ameona waitwa polisi akajua uko kitengo cha usalama barabarani akaona atest zali... lol, afu hapa anajishaua eti mwamtongoza, jf raha kweli jamani!
 
Watu wamekuwa wasumbufu sn day & night mi nasumbuliwa sana, wengine wana heshima zao humu hlf bado hawana staha. Au tatizo ni ule uzi wangu? Sasa nawataarifu kama mtaendelea nitamwaga majina yenu hapa na pm zenu zote. Mbona siku ile mlikuwa mnanipa ushauri mzuri, sasa inakuwaje mbona leo wote mnanitaka tena jamani? Ah mi sitaki bwana.

akutake nani wewe?
Hiyo PM kama nimeichoka si bora nimtumie ROBOT tusi afu anipige ban?
 
Watu wamekuwa wasumbufu sn day & night mi nasumbuliwa sana, wengine wana heshima zao humu hlf bado hawana staha. Au tatizo ni ule uzi wangu? Sasa nawataarifu kama mtaendelea nitamwaga majina yenu hapa na pm zenu zote. Mbona siku ile mlikuwa mnanipa ushauri mzuri, sasa inakuwaje mbona leo wote mnanitaka tena jamani? Ah mi sitaki bwana.
nahisi unajihisi wewe ni miss/qeen wa jf.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom