Sasa nimechoka naanika PM zote za wanaonitaka kimapenzi kupitia JF

Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,454
2,975
Watu wamekuwa wasumbufu sn day & night mi nasumbuliwa sana, wengine wana heshima zao humu hlf bado hawana staha.

Au tatizo ni ule uzi wangu? Sasa nawataarifu kama mtaendelea nitamwaga majina yenu hapa na pm zenu zote.

Mbona siku ile mlikuwa mnanipa ushauri mzuri, sasa inakuwaje mbona leo wote mnanitaka tena jamani? Ah mi sitaki bwana.
 
Watu wamekuwa wasumbufu sn day & night mi nasumbuliwa sana, wengine wana heshima zao humu hlf bado hawana staha. Au tatizo ni ule uzi wangu? Sasa nawataarifu kama mtaendelea nitamwaga majina yenu hapa na pm zenu zote. Mbona siku ile mlikuwa mnanipa ushauri mzuri, sasa inakuwaje mbona leo wote mnanitaka tena jamani? Ah mi sitaki bwana.

Umesahau ule msemo usemao rafiki ni mkia wa fisi.......
 
mtu mzima hatishiwi nyau. hata kama nikikutongoza ukaweka hapa ntapungukiwa nini? mwanamke kutongozwa lazma sio ombi. naomba uwe mpenzi wangu. navutiwa na wewe sana mrembo. nategemea jibu la kufurahisha kutoka kwako.
 
naomba kujua umri wako, elimu yako,na kazi yako. Nasubiri majibu ili niweze kuchangia mada
 
Ukiweka na mimi naweka pm zako zote ulizonitumia. Yah ukimwaga mboga na mimi nmwaga ugali
 
Naanza kuwataja.
1. Bakbkey- sikutaki.
2. Polisi- Jipange vizuri naweza kukufikiria.
3. Thickdijayz- unaonekana wewe ni mzee.
4. Kabakabana- ukizidi kunisumbua nitaweka mpaka namba yako ya simu hapa.
5.
6.
7. Nitarudi tena kuwataja wengine.
 
mi sikutumii pm, nakutongoza hapa hapa hadharani. Dorrice moyo wangu umekudondokea, hasa nikisoma post zako ndio nazidi kuchanganyikiwa, unaonekana u mrembo sana bibie. Tafadhali naomba unionee huruma mtoto wa mwanamke mwenzio. Nikinywa maji nakuona kwenye glass, usiku silali nabaki nikikuota wewe. Moyo wangu unateketea Dorrice kwa ajili yako.......(kama naelekea elekea kukushawishi/kukuvutia niambie niende ukurasa wa pili)
 
Naanza kuwataja.
1. Bakbkey- sikutaki.
2. Polisi- Jipange vizuri naweza kukufikiria.
3. Thickdijayz- unaonekana wewe ni mzee.
4. Kabakabana- ukizidi kunisumbua nitaweka mpaka namba yako ya simu hapa.
5.
6.
7. Nitarudi tena kuwataja wengine.

eti nakusumbua?na uhakika hujawahi pata hata PM moja weewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom