Sasa nimeamini wanadamu wanakuwa na tamaa na kitu kinachofichwa fichwa na kuzuiliwa

Dumelambegu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,052
257
Jamani sina maneno mengi kuhusu suala hili manake hata wewe msomaji inawezekana umeshuhudia wanawake wa wahindi wanavyovaa magauni ya na kuacha tumbo na vitovu nje nje. Kama huo ndiyo utamaduni wao ina maana kuwa wanaume wao hawahamisiki wanapoona sehemu hizo za mwili. Lakini binti wa kimatumbi akiacha tumbo na kitovu chake nje, weeeeeee, miluzi si miluzi na wengine kama akina sisi inafika wakati suruali hazitoshi!
 
Sasa umeamini vipi kwamba mnatamani vinavyofichwa fichwa kama tusipoficha bado mnatamani?
 
Mmmmhhhh, jamani mmatumbi akiacha tumbo na kitovu nje patakalika kweli? Tusisahau kwamba weusi wana maumbo tofauti na mataifa mengine. Ukiona tak... ni tak.. kwelikweli, siyo mchezo. Mimi naona bora waendelee kuficha hivyo hivyo tusije tukajaza magereza bure!!
 
Heheheh...haya tutajitahidi.....:juggle:
 
Mkuu umesahau kuwa siku zote kimtamanishacho mtu na kumtia ny.ge ni kile alichonacho mwenzake na si kile alichonacho yeye.Sasa kwa hilo mi naona wa kwetu bora waendelee kuficha tu maana wakituoneshaonesha sana tutavizoea na tutawaona wa kawaida.
 
Unaonaje wakiviacha nje ili tuvizoee na kasi ya kuenea kwa ukimwi upungue?
 
mnaficha na bado hatuvitamani.
Hivi ni kweli hamtamani???
Usiniambie mwanamke anaolewa ili kumplease mwansmume. Girls don't be too low, n u are asking for gender equallity while u can't even openly discuss feelings zako.
 
imeandikwa "usifungamanishwe na nira zao"

usipende kuiga kwani "kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe"
 
Hivi ni kweli hamtamani???
Usiniambie mwanamke anaolewa ili kumplease mwansmume. Girls don't be too low, n u are asking for gender equallity while u can't even openly discuss feelings zako.

Kwahiyo tuseme tunatamani hata kama sio kweli?Nwyz ukweli ni kwamba wadada..baadhi anyway.. hua wanatamani vya mmoja tu waliye naye tofauti na wanaume ambao macho mbele mbele kama tochi muda wote!
 
Hivi ni kweli hamtamani???
Usiniambie mwanamke anaolewa ili kumplease mwansmume. Girls don't be too low, n u are asking for gender equallity while u can't even openly discuss feelings zako.

hatuvitamani ndio. Usichanganye kutamani na kupenda. Nyie hata mtembee na bikini.....oopps, boxer; sisi hatutamani tofauti na nyie mkiona kapaja tu mshatamani hadi mnamwaga udenda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom