Sasa ni dhahiri !

Jumanne Mkota

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,917
1,660
WANABODI WOTE KIMENUKA
Imetoka oder kutoka mamlaka juu kuwa mawazir na manaibu wote waondoe plate number za mawaziri na manaibu mawaziri kwenye magari na waweke zile za STK na hakuna kupeperusha Bendera ya Taifa kwenye Magari.
Hapa Nipo jimboni Mwanga Maghembe ameanza kutumia gari yake Prado T 206 AZY. Gari la wizara naona limepaki Mwanga Motel anapolala Dereva. Yeye kaenda Usangi na Prado lake na Dereva wa Mkewe

Chanzo: mimi Mwenyewe na Dereva wa serikali anayemuendesha Maghembe
 
Hiyo haimaanishi kitu, maana hata siku za kawaida mawaziri huwa wanaweka plate number za STK wakiwa kwenye issues ambazo hawataki wafahamike kirahisi. Pia, wao kuweka au kutoweka plate number za W au NW kwenye magari yao hakurudishi mali walizotuibia.
Order iliyotakiwa kutoka ni kuwavua uwaziri na mafisadi wote kama akina Ngeleja na Maige wafunguliwe mashtaka. Ingekuwa Rwanda, wakati upelelezi unaendelea, tayari wangekuwa rumande wakisubiri hukumu! Hapa Bongo ni story na hadithi za Abunuwasi kama hii!

WANABODI WOTE KIMENUKA
Imetoka oder kutoka mamlaka juu kuwa mawazir na manaibu wote waondoe plate number za mawaziri na manaibu mawaziri kwenye magari na waweke zile za STK na hakuna kupeperusha Bendera ya Taifa kwenye Magari.
Hapa Nipo jimboni Mwanga Maghembe ameanza kutumia gari yake Prado T 206 AZY. Gari la wizara naona limepaki Mwanga Motel anapolala Dereva. Yeye kaenda Usangi na Prado lake na Dereva wa Mkewe

Chanzo: mimi Mwenyewe na Dereva wa serikali anayemuendesha Maghembe
 
Tatizo letu watanzania tunadanganyika na vitu vidogo vidogo sana na ndo mana mtu yupo tayari kumpigia KURA mgombea aliempa Tshirt, kanga au kofia....!! Kutumia au kutotumia W au NW kunatusaidia nini sisi wananchi wa kawaida??
 
Sijaelewa kutoa hizo namba W/NW na kuweka STK inamaanisha nini? Ina maana si mawaziri tena au namna gani?
 
Bado sio chanzo kizuri sana, kwakuwa inawezekana ni gari hiyo tu ndio imetakiwa kung'oa vibao vya waziri, usikute yeye ndo anayetoswa halafu wengine wakaachwa wapete, lets wait and see kwakuwa chochote Bongo hii kinawezekana.
 
Tatizo letu watanzania tunadanganyika na vitu vidogo vidogo sana na ndo mana mtu yupo tayari kumpigia KURA mgombea aliempa Tshirt, kanga au kofia....!! Kutumia au kutotumia W au NW kunatusaidia nini sisi wananchi wa kawaida??

nani kakwambia tumedanganyika!
 
Always watanzania huwa tunadanganyika sana. Hapa hoja si plate number za W au NW. Hoja hapa ni kuwa yeyote aliyehusika na upotevu wa mali ya umma akamatwe na ufunguliwe mashtaka. Thats all and we dont need blah blah!
 
wewe mafilili unadandia tu hoja, natmai uko kwa ajili ya kuwafarija na kuwafurahisha magamba na mafisadi wenzako
 
Safi sana AMRI ya JK ni kama moto wa jangwa husambaa haraka na husafisha eno vizuri
wee kweli hamnazo yaani unasifia amri inayokuja baada ya wapinzani kutishia kuitisha maandamano ya kumwondoa madarakani? Hakuna rais zuzu kama huyu, kweli hawezi kuwafukuza mawaziri wala kuchukua hatua stahiki serikalini hadi bunge liseme? The worst president ever been and will never be in our country.
 
Safi sana AMRI ya JK ni kama moto wa jangwa husambaa haraka na husafisha eno vizuri
Bado una nguvu ya kuandika? Hivi huyu JK ni nani yako mpaka anakufanya uwe kama mwehu kwa kumsifia pale ambapo hapastahili hat kidogo? Anatembea na mkeo nn?
 
Safi sana AMRI ya JK ni kama moto wa jangwa husambaa haraka na husafisha eno vizuri

mbona wewe kichwa chako kimejaa matope?? amri hiyo inasaidia nini kuinua hali ya kawaida ya mwananchi?? huu sii wakati wa ushabiki wa vyama ni wakati wa kuamua mustakabali wetu kama taifa!unashangaza sana maana umejaa ushabiki jiunge basi na vikundi vya taarabu! unakera sana na post zako za kijinga!!
 
Back
Top Bottom