Sasa ngoma droo, wanaume nao kutumia vidonge vya majira!

Wanajidanganya wenyewe sivitumii naendelea na utaratibu wangu wa kawaida.
 
Wanaume ni selfish looh.....yaani wanawake wakitumia hizo dawa na sindano ni sawa lakini nyie hapanaaaa. Nyie ndio wa kwanza kuwashauri wanawake zenu wanywe vidonge tena mnawakumbusha kbsa wakisahau ili tu wasishike mimba!!!!

Mimi naona hii itawafaa sana wanaume ambao ni chovya chovya,kuepuka kubambikizwa mimba hata sio zenu. Wengine mnalea mimba za wanaume wenzenu halafu mnajidai kitanda hakizai haramu!!!
 
mnnipa raha wakaka wa jf so wake zenu tutumie ila nyie mmh!
nyie ni maselfish sana aisee

mi nakwambia leo mbona TMK mwenzao kawaamulia kwanza asubuhi kawajia na wanaume nao huingia kwenye hedhi,wakatoka povu weeeeh sa hizi kanitonya kuwa kuna nyingine ya kumeza vidonge vya majira nawasubiri waje hapa ! Ruttashobolwa iwe hebu njoo upate dozi yako hapa mwalimu gfsonwin amekuja na maelekezo ya jinsi ya kuvimeza,mwite kabisa na Mkusa ,halafu usimsahau The Boss leo mbona nimekumbusha watu machungu leo!
 
Last edited by a moderator:
safi sasa haki sawa kwa wote hizi hapa.

sasa Mtamabuzi hivi tu na hii mikuku ya kisasa nguvu za kiume hawana kila siku wana boost sembuse sasa leo wapewe na hizi za dry orgasm? yaani wakitema wateme mapovu lol! sipati picha Nyani Ngabu yuko na mpenziwe Kongosho halafu anakojoa povu kama sio hewa lol!

jamani nawaonea huruma mie kiukweli hapo tu watoto wadogo wa miaka 20+ wanakojoa pumzi wakipewa na hizi si zaid mmh ngoja nilee wanangu aisee wazae mapema nijukuu manake huko mbelen ninahatari ya kuwakosa
 
ahahahahhahhah watakuwa wanatoa povu badala ya madhiwa!oh tate nane!TMK kwa kweli ikiwezekana mumfungulie kesi Mtambuzi inakuwajeeee anawatolea tafiti hizi mlizoamua kuzificha kwa gharama kiasi kile ahahahhahhaah Mtambuzi kikikunukia mi simooooooooooo:A S 109:
 
shosti acha tu hapa mtu anameza kila anapotak kufanya mapenzi lakin hatak kupata mtoto, na hii inamfanya akifikia ku peas basi hatoi manii anatoa hea tu lol!

this time wamekamatika sana tu yaani watajikuta wako mahanithi pasi kutarajia. oooh! sukari yangu inakoza ooh, narusha maji mto ruvu wote sasa kiboko hii hapa dry orgasm unatoa pumzi tu mwafwa na mkicheza mtachubua hadi vas deference maninna wallah
 
ahahahahhahhah watakuwa wanatoa povu badala ya madhiwa!oh tate nane!TMK kwa kweli ikiwezekana mumfungulie kesi Mtambuzi inakuwajeeee anawatolea tafiti hizi mlizoamua kuzificha kwa gharama kiasi kile ahahahhahhaah Mtambuzi kikikunukia mi simooooooooooo:A S 109:

kei siku hizi zitapulizwa tu na fenu whiiiip! kwisha habari yake ukitoka hapo binti msafiiii huna cha shombo wala nn. tena wala chupi zetu hazita chafuka tena khaaa! hivi DARKCITY na Asprin wameliona hili?
 
Last edited by a moderator:
mi nakwambia leo mbona TMK mwenzao kawaamulia kwanza asubuhi kawajia na wanaume nao huingia kwenye hedhi,wakatoka povu weeeeh sa hizi kanitonya kuwa kuna nyingine ya kumeza vidonge vya majira nawasubiri waje hapa ! Ruttashobolwa iwe hebu njoo upate dozi yako hapa mwalimu gfsonwin amekuja na maelekezo ya jinsi ya kuvimeza,mwite kabisa na Mkusa ,halafu usimsahau The Boss leo mbona nimekumbusha watu machungu leo!

Hata waniwekee kisu shingoni simezi, Mtambuzi we waambie hao wagunduzi imekula kwao
 
Last edited by a moderator:
safi sasa haki sawa kwa wote hizi hapa.

sasa Mtamabuzi hivi tu na hii mikuku ya kisasa nguvu za kiume hawana kila siku wana boost sembuse sasa leo wapewe na hizi za dry orgasm? yaani wakitema wateme mapovu lol! sipati picha Nyani Ngabu yuko na mpenziwe Kongosho halafu anakojoa povu kama sio hewa lol!

jamani nawaonea huruma mie kiukweli hapo tu watoto wadogo wa miaka 20+ wanakojoa pumzi wakipewa na hizi si zaid mmh ngoja nilee wanangu aisee wazae mapema nijukuu manake huko mbelen ninahatari ya kuwakosa

aahhahahhahhahhaha Mtambuzi leo lazima wakubanike mshikaki!yani kweli wawe wanabwia nao ,ahahahahahaah BAK, Eiyer, Kaizer, Watu 8 platozoom hebu kujeni huku mchukue dozi zenu ahahahhahahhahaha

Mdomo uliponza kichwa!! ................Hebu kaandaeni chakula...............
Halafu Mtambuzi dawa yake inachemka
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom