Sasa ndio nini hii nyie Airtel....?

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,323
18,793
Nilikuwa nacheck salio kwenye modem yangu nikapata majibu haya......

Thank you for using Airtel Services. You have already used -16074MB of your 400MB bundle, Your remaining balance is 16GB, your bundle time will expire on.....

sasa hapa sijaelewa....hizo 16GB ndio nimepewa offer rasmi au inakuwaje?.....wataalam wa mambo haya naomba mnisaidie......
 
Watakua wameinvert: umetumia 400MB, umebakiza 16074 (or 16GB)... nadhani...
 
Hiyo ni Logical Mis Calculation anytime cstim ina messup ukijaribu tena baadae utakuta mambo yamekaa sawa mate
 
ngoja nijaribu tena nione imekuwaje......moyo ulidunda ujue....
 
mkuu hata mimi napata msg kama hiyohiyo nimeshauliza km mara mbili inakuja msg ya hivo nimedownload mafaili makubwa nikiuliza salio napata msg hiyohiyo ngoja nijiachie
 
Nilikuwa nacheck salio kwenye modem yangu nikapata majibu haya......

sasa hapa sijaelewa....hizo 16GB ndio nimepewa offer rasmi au inakuwaje?.....wataalam wa mambo haya naomba mnisaidie......

Usishtuke ni mimi nimekutumia niliiingia kwenye billing server kufagia. Aliyeauwa ananilinda alivyosinzia na baridi la server room nikabonyeza command ya add 16 GB to Preta.

teh teh teh Joking inawezekana database zao zimerogwa. na Tigo.
 
Usishtuke ni mimi nimekutumia niliiingia kwenye billing server kufagia. Aliyeauna ananilinda alivysinzia na baridi a server rom nikabonyeza command ya add 16 GB to Preta.
teh teh teh Joking inawezekana database zao zimerogwa. na Tigo.

he he.....asante sana.....na nimejaribu kuangalia tena salio....nimekuta mdundo ni huo huo.....ngoja niendelee kujipepelea mie.....
btw....nilikumiss......
 
Nilikuwa nacheck salio kwenye modem yangu nikapata majibu haya......

sasa hapa sijaelewa....hizo 16GB ndio nimepewa offer rasmi au inakuwaje?.....wataalam wa mambo haya naomba mnisaidie......
Du unabahati kweli preta sijui nikupe number zangu unipunguzie salio kama inawezekana please.
 
he he.....asante sana.....na nimejaribu kuangalia tena salio....nimekuta mdundo ni huo huo.....ngoja niendelee kujipepelea mie.....
btw....nilikumiss......
P mimi sio tu nilkumis bali kitendo cha kukumiss kipo "autoplay " teh teh teh

Sasa zitumie hizo ukienda kulala download movie . Pakua hii movie ya the Notebook kwenye piece mbili ndogo ndogo. Its very nice na nimeidedicate kwako kwa hizo 16 GB kabla hawajazichukua Ia movie yenyewe imekuwa compressed kuwa sio zaidi ya 300 MB . Ni story nzuri sana

part 1 Free File Hosting & Video Downloads, Free File Sharing, Online Friends Network - Ziddu
part 2 Free File Hosting & Video Downloads, Free File Sharing, Online Friends Network - Ziddu
 
hi hi......lete namba nikutumie saa hii kabla hawajashtuka......
 
he he.....asante sana.....na nimejaribu kuangalia tena salio....nimekuta mdundo ni huo huo.....ngoja niendelee kujipepelea mie.....
btw....nilikumiss......

Ha! Hii kitu niijua ni modem yangu tu, toka mchana inaniambia vitu sivielewi. Halafu ukiangalia vizuri MBs ulizotumia zinazidi kupungua (mfano kutoka 16054 zinaelekea 16043 na kuendelea)
 
Niliunga line yangu ya airtel bundle iyo. Nimeiweka na kuchek. Ime sema ivo ivo! Hmm! Der is somtn fishy apa! Labda wanataka tufikirie tuna amount kubwa ya data left ili uzimalize haraka kwa kujua una bytes za kutosha kumbe sio!
 
P mimi sio tu nilkumis bali kitendo cha kukumiss kipo "autoplay " teh teh teh

Sasa zitumie hizo ukienda kulala download movie . Pakua hii movie ya the Notebook kwenye piece mbili ndogo ndogo. Its very nice na nimeidedicate kwako kwa hizo 16 GB kabla hawajazichukua Ia movie yenyewe imekuwa compressed kuwa sio zaidi ya 300 MB . Ni story nzuri sana

part 1 Free File Hosting & Video Downloads, Free File Sharing, Online Friends Network - Ziddu
part 2 Free File Hosting & Video Downloads, Free File Sharing, Online Friends Network - Ziddu

asante sana.......ni kama ulijua jinsi nazimikia movie.......ndio napakua sasa......
 
kwa jinsi mnavyotambiana hapa nadhani maprogrammer leo watalala huko kazini 'kumeki shua' haka ka tatizo kanakuwa solved!
 
Back
Top Bottom