Sasa naweza kuruka na ATCL

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Wanandugu sasa naweza kuruka na atcl;nilikuwa nailaani sana hasa baada ya kushindwa kunisafirisha miezi iliyopita;majuuzi niliamua kwenda mwanza hakika walinifurahisha tangu huduma za ndnai mpaka nje.....napenda kuwapongeza na kuwaasa sasa wenzangutunaweza kwenda kukata airtanzania....
 
yule bibi air hostess bado yupo?
 
Ni kweli kuna airlines nyingi ambazo wahudumu wamesogea kidogo kiumri lakini hao ndio huwekwa daraja la kwanza kuhudumia wateja wa wenye nyadhifa zao. lakini tija wanayoonyesha ni ya hali ya juu. Siyo hawa wa kwetu wanafanya kazi kama wamelazimishwa. Jamani mie mwenzenu pigeni ua huduma Tz bado!!! kwa sababu attitudes zetu ni kuwa mteja anakuja kukusumbua! Siku tutakapoielewa dhana ya mhudumiwa na mhudumu basi kila kitu kitakua sawa. Until then.....tutaendelea kulaumiana tu.

Na baada ya kusema yote haya ATCL bado inahitaji kuwa overhauled with infusion of new younger and commited Top Management, Board Chair na kuajiri watu kwa taaluma ya industry na kuwekewa performance indicators ambazo zitahakikisha faida na maendeleo la shirika hilo. Bila hivyo tutasumbuana tu.

Ndeanasia
 
Siyo suala la bibi, ni huduma gani unapata!, nasafili sana UK/US/JAPAN/GERMAN, mara nyingi nakumbana na vibibi na babu kwenye hizo airline, lakini huduma zao ni nzuri,
hujanisoma......
 
Hivi mnachotaka ni huduma nzuri au ni umri kwani akiwa msichana au kibibi kuna tofauti gani!?
 
...yoyo, wamung'unyie kama bibi asiye meno wala dentures kisha uteme, wataelewa!!! lol
 
yote katika yote ATCL has come to make it, tuwe pamoja nao katika kukamilisha hili...!

Wakikosea tuwakumbushe na wakifanya vyema tumwage sifa....!
Na pia kukitokea wafanyakazi wanaolihujumu shirika tuwawajibishe.....!
Tiketi za bure marufuku....!
 
yule bibi air hostess bado yupo?
MKUU YUPO NA ANADAI KAMA KAWA;OLE UPANDE AKIWA NDANI UTAFURAHI
labda kwa kukusaidia ndege ya KLM iliajiiri cabin crew 20 mwaka jana kati ya hao 13 wana miaka 50----60....NA KWA HAKIKA UKIPANDA NDANI YA NWALE WAZEE UTAFURAHI KWANZA WANAHESHIMU KAZI NA WANAJUA PASIPO HIYO MPUNGA AUPO;TATIZO KUBWA LA ABIRIA WANAPENDA VIJANA MWISHO WA SIKU WAANZE KUPIGANA VIKUOMBO NA WKAINA CHENGE....NA HIVYO UNAKUTA UKO NJE YA MHIMILI
....Labda la kukumbusha madada wengi wa precission ni masister du ndio maana inafika kuombwa juice unafyonza wakati mi ndio nakulisha mwisho wa mwezi na familia yako-Panchot
 
Hivi mnachotaka ni huduma nzuri au ni umri kwani akiwa msichana au kibibi kuna tofauti gani!?

wanaitaji wa **** saa sita awato**** hii ni dhana nzuri
 
Siyo suala la bibi, ni huduma gani unapata!, nasafili sana UK/US/JAPAN/GERMAN, mara nyingi nakumbana na vibibi na babu kwenye hizo airline, lakini huduma zao ni nzuri,
Umeongea neno sana mkuu!
Karibu sana nikuuzie miche ya mikaratusi.. Call 0764622243 tupande miti tuvune mbao
 
yule bibi air hostess bado yupo?

KWA TAARIFA YAKOO
BEST AIRLINE ZINAONGOZWA NA OLD CABIN CREW

NENDA KLM...BAHATIKA KURUKA NAO
BAHATIKA KURUKA NA SOUTH AfricanAIRLINE...UJE UBAHATIKE KUPANDA AIRTANZANIA UTANIELEWA.

THE BEST CREWS N AFRICA BOARD ATCL UENJOY
 
Back
Top Bottom