Luck karibu sana kwenye team,nitakuulizia Viongozi wa matawi ya Kimara then nitakujulisha,sasa ndo mtaijua Yanga...Nchunga kaondoka na team kaiacha kwenye mikono salama kabisa..
Siku zote Yanga daima ni mbele,nyuma mwiko
Luck karibu sana kwenye team,nitakuulizia Viongozi wa matawi ya Kimara then nitakujulisha,sasa ndo mtaijua Yanga...Nchunga kaondoka na team kaiacha kwenye mikono salama kabisa..
Siku zote Yanga daima ni mbele,nyuma mwiko
Noooo lazima tutofautishe real logo na logo wanazobuni watu wa tandale kwa tumbo ili waweke kwenye jezi feki ili wakwepe mkono wa sheria..alafu naona kuna mtu anasketi hapo na na mwingind bondia waanafanya nini hapo!
Ha ha haa haa, Mkuu labda iliyokufa ni Netboli lakini ya Boxing haijafa, hukuona ilivyopafomu siku ya Mechi ya Azam?Wacha nijitolee kukusomesha,pamoja na kwamba nimegundua una ka'element ka'ubishi lkn kwangu utakaa sawa tu,umeuliza skirt na mtu aliyevaa gloves za mabondia wanafanya nini kwenye logo,sasa mimi nakujibu...kama inavyoeleza tafsiri ya jina kamili la Yanga "Young Africans Sports Club" ni Club ya michezo kwa ujumla na wakati inaanzishwa mpaka kwenye miaka ya 80's Yanga ilikuwa ina team kuu 3 za michezo,team ya footbal (soka) ambayo ndo ime'dominate sasa,team ya ngumi iliyokuwa inajulikana kama Young Africans Boxing team na team ya Netball,ni upeo haba wa viongozi waliokuwa wanapata nafsi ya kuongoza Club kwenye miaka ya mwishoni mwa 90 mpaka sasa ndo ulioua hizi team nyingine na kubaki na team ya footbal peke yako.
Tuko pamoja?
kama ya ccm na ndio maana chama linakufa kibudu