Sasa najua kuwa nimekuwa addicted na JF...

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,946
...yaani muda wote nilioikosa JF nimeshindwa hata kuwa productive. Kila nikijaribu kuingia napata error message, nikadhani nimepewa BAN. Nina namba ya Lizzy tu binti yangu, nikataka kuuliza kulikoni lakini hata nae namba yake nikawa siipati. Nikakumbuka kuwa Mzee Mwanakijiji alisema ukumbi wetu unaweza kuilingiwa na wana magamba ili kuzuia mabadiliko, nikawaza ndio hayo au...?

Muda huu ndio naipata JF, wabarikiwe wote waliowezesha JF kurudi. Kwa mtindo huu mnaojisifia kupigwa BAN mna ujasiri wa aina yenu, mie nakiri kuwa nikipigwa BAN sijui itakuwaje!!
 
Mama watoto alikuwa ananiuliza nina umwa namwambia niko poa tu.Mpaka yeye kaingia jf kakuta haipatikani ndo kashtuka mchezo.Kwamba nilikuwa naumwa ugonjwa wa jf
 
Mama watoto alikuwa ananiuliza nina umwa namwambia niko poa tu.Mpaka yeye kaingia jf kakuta haipatikani ndo kashtuka mchezo.Kwamba nilikuwa naumwa ugonjwa wa jf

Tindikali ndugu yangu, na wewe Ubarikiwe! Maana nilkuwa nadhani ni tatizo langu binafsi, kumbe tupo wengi!
 
Mim nilijua jf ndio bai bai imekufa.

Hivi kama ndo ingekuwa imekufa isinge patikana tena wewe ungefanyeje? Ingekuwaje?
 
Heri mimi sijasema kwamba ilikuwa ni taaabu sana na siku zilikuwa boring kimtindo shauri yenu msio na siri........ !!!!!!!!!!!!!!

Majitu makubwa mazima mnashindwa kutunza siri yaoneee .........!!!!!?????

Mbona mi nili i-miss nimevumilia sana na mpaka sasa sijamwambia mtu yoyote.??????
 
kumbe tuko wengi jana na leo sikuwa na raha utadhani naumwa
kisa kuikosa JF.
 
Mie ilipofika May 15 still haipatikani nilishindwa hata wa kumpigia simu ama kumtumia sms kwa inbox nimuulize kulikoni
 
Mim nilijua jf ndio bai bai imekufa.

Hivi kama ndo ingekuwa imekufa isinge patikana tena wewe ungefanyeje? Ingekuwaje?

nimepata shida sana mpaka nikaanza kusoma blog za ajabu ajabu. Nimefurahi sana leo.
 
Mtu mzima nimefikia hatua ya kusikiliza hii miziki ya akina diamond na sharo-milionia! Bila JF maisha yanasimama.
 
Finally you are back. Nilikuwa kule fikra pevu nako hata sielewi elewi mara nikaona " jamiiforums" si nikaclick nikajikuta humu ndani... Hebu na tuendelee kwa amani.
 
Kweli aisee..baada ya JF kukosa hewani nimejua kumbe hata kuna forum inaitwa Kijijini ya mwanakijiji. Walau hii ilinipa taarifa ya kifo cha Mafisango in time. Just google Kijijin
 
Mama watoto alikuwa ananiuliza nina umwa namwambia niko poa tu.Mpaka yeye kaingia jf kakuta haipatikani ndo kashtuka mchezo.Kwamba nilikuwa naumwa ugonjwa wa jf

Wagonjwa tulikuwa wengi. Loooooo, JF jamani mbona umetuumiza wengi. Hata chakula cha usiku kilikuwa hakiliki mweeeee!!! Bravo JF kurudi
 
Mimi katika hizi siku ambazo JF ilikuwa kimya, kweli nilikosa raha kabisa. Kila nikiingia ERROR msg

Duuuuuuuuuu!!!!!!!!!!

Nilijua magamba wameshafanya kazi yao na ikizingatiwa jana ilikuwa ni siku ya MAWASILIANO, mmmmmmmmmmm!!!

Nikajua ndio kwishiney JF. Nilipata taabu sana. Nilifikiri au ndio nimepigwa BAN!!!!! nisifungue katika PC yangu!!!! nikajaribu PC nyingine mtindo ukawa uleule!!

NIKAONA HAYA MANG'ANA SASA!!!


MIZAMBWA
INANUMA SANA!!!
 
Heri mimi sijasema!
Shukrani sana Mods kwa kuturudishia dawa yetu! Najua wagonjwa wa hii kitu(JF) tupo wengi!
 
Back
Top Bottom