Sasa najilaumu kuzaliwa Tanzania

Calist

Senior Member
Dec 17, 2010
130
7
Ndg zangu Tanzania tuliyokuwa tukijisikia fahari kuwa nayo sio ya sasa, shida zimekuwa nyingi kiasi kwamba sasa siwezi kuona fahari tena kuitwa Mtanzania. Killa kitu ni siasa tu, tuliambiwa tunayo petrol ya kutosha kwa wana Iringa mtakuwa mashahidi petrol haipatikani sasa wiki nzima lakini wahusika wanasema hakuna uhaba wa mafuta mbona hatuyaoni?
Haya vyakula bei juu sasa hivi mchele unakibilia kwenye 2000, hadi chunvi imefikia 1200, mliofanya shopping ya xmass bei za mavazi mmeziona ziko juu kuliko ambavyo imewahi kutokea, sasa cha kujivunia kiko wapi.

Mkuu wa nchi utakuwa muungwana sana kama ukiamua kuachia nchi hakuna ubishi imekushinda hadi tufike 2015 tutakuwa tumefika pabaya kuliko ilivyokuwa wakati wa vita vya nduli Idd Amin. Itatuchukua tena miaka lukuki kuijenga upya chonde chonde kikwete achia nchi, nayasema haya kwa uchungu sana ipo siku nitajitoa mhanga mahari popote na wakati wote kuwakomboa Watanzania wenzangu nilikuwa nikiwashangaa sana waliokuwa wakivaa mabomu na kujilipua kumbe sasa nawakubali siku moja nitalivaa ole wako upite jirani nami nitafungua ukurasa mpya wa historia ya Tanzania.
Watanzania wenzangu poleni sana.
 
mambo mengine huwa hatuchagui na mshindi ni yule anayekabiliana na changamoto zilizopo mbele yake na si kukimbia
 
Kama kuna watu 1000 tu wenye hisia kama za huyu ndugu.........miaka miwili haimaliziki bila ya kusikia jambo.
Natabiri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom