Sasa mnaudhi na kukera!

Hahaha...unamwambie wife "We mama, nguo gani hiyo unavaa? Hiyo miguu unaiona? Kama huioni hebu jiangalie kwenye kioo. hebu badilisha huko, la sivyo nenda peke yako?"
tunaita fanya fyoko ukamuliwe, utavutiwa mdomno mwezim mzima
 
Kweli kazi ipo sijui huko tuendako itakuwaje...? Mungu atunusuru jamani. Ina maana hata vioo hawana wakajiangalia kwanza kabla ya kutoka au?
 
Jamani wakina kaka Poleni!

Jamani na sisi wakina dada tujue basi hata parts za kuacha wazi. hata kama biashara ni matangao, ni mwanaume gani atavutiwa ma mipaja imejaa mikwaruzo kwaruzo kama ya huyo dada? jamani si tujiangalie na sisi! Ila kwa kuwa yuko club na jamaa wamechakaa, watachukua mzigo, ila asubuhi, wakati pombe zimetoka, anataka kupasha kabla hajafungua porch, he will neglect for the rest of his life!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom