Sasa mnaudhi na kukera!

........Huyu kachemsha kweli kweli, hiyo nguo aliyovaa wala haiendani na mwili wake. Hiyo michirizi sasa mhhhhh!!!! Hadi inatisha......huyu anatakiwa kuvaa nguo ndefu kuficha hiyo michirizi.
 
mbu,acha kujishusha sukari baba! huyo ana watu wa karibu na yeye ambao ndo kioo chake.ana wazazi,ana mpenzi,maybe ana watoto,ana ndugu na marafiki pia.hata siku moja usijishughulishe na mtu ambaye huma ukaribu naye,manake hao woote wameona alivyo ni sawa,ww bakia na ushamba wako wa tandahimba! :dance:unaweza kukuta mumewe ndo anamletea hayo mavazi na anapenda avae hivyo! she fits in the society she belongs to,u dont fit in it then take a walk.maisha yanakuwa tres bien!bon bon...

...that's what I mean, majority hawapendezi!.....aaaarrrghhhhhhh!!!.....
 
Bak hio picha ya kwanza ukivaa hio nguo kufuli aina ni bikini... Hivyo haina maana. Hiyo nguo yani kuvaa kama huyo dada inabidi we mdada uwe na a very perfect a*** huyo dada as much as umemsifia yeye ilitakiwa avalie top inayo cover kidogo hadi walau mpaka chini kidogo... Katika fashion ya sasa hivi hio ndo nguo inakosewa kuliko zooote... wengine huonekana hata kama hoookers... Kuepusha kuumiza kichwa personally sigusi...

Huyo mdada wa boobs, yes she looks good and sexy but hayo mazingira yanaonesha kama kuna kazi ilikua inaendeshwa hapo... I hope alikua anapita tu but nguo ya namna hio ukivaa sehemu ya kazi men dont even listen to what you are saying... kila saa wanakuja na shida but the eyes, mind and juniors diverged... Haipendezi kazini inaonekana hauko serious...

...enhe! sehemu ya kazi hebu mtuonee huruma jamani,....halafu ukute mrembo mwenyewe ndio anafanya presentation,...yaani concetration yote inahamia kwenye 'pillow!'

Jamani Mbu ukiona hapa nilivyo vaa si utakimbia :biggrin1::biggrin1::biggrin1:

...pheeeew, utabakwa wewe na hiyo 'swimming costume yako!'

Hahahah embu tuacheni jamani....alafu sio kila mwenye kioo anajiona!!Wengine nadhani hua wanaona kitu tofauti kabisaaaa na kile wanachoona watu wa nje!!!

...ha ha ha haaaa! e bana wee mfano mimi, hujiona na six pack japo mtaani wananambia na kitambi!

mbu,acha kujishusha sukari baba! huyo ana watu wa karibu na yeye ambao ndo kioo chake.ana wazazi,ana mpenzi,maybe ana watoto,ana ndugu na marafiki pia.hata siku moja usijishughulishe na mtu ambaye huma ukaribu naye,manake hao woote wameona alivyo ni sawa,ww bakia na ushamba wako wa tandahimba! :dance:unaweza kukuta mumewe ndo anamletea hayo mavazi na anapenda avae hivyo! she fits in the society she belongs to,u dont fit in it then take a walk.maisha yanakuwa tres bien!bon bon...

...kweli eee? am trying bana, ila nawaonea huruma wanavyohangaika kuvuta chini vimini skirt vyao.
au wanapokuwa wakali kwanini macho yetu wapita njia tunayagandisha vifuani, au kwenye makalio mayo....!
 
ww potezea kabisaa.manake hiyo kuvuta nayo ni strategy ya ku-draw attention.kama mtu anajiskia kupata upepo hapaswi kuvuta vuta tena!inategemea na ofisi anayofanyia kazi,ila kwa kweli i never comment on pple's dressing codes manake si ajabu wanakuona ww unavaa kimasai watakushukia ushangae!uwe na wiki njema ya utendaji kazi.hapo kusanya appetite,msosi homeeee!
...kweli eee? am trying bana, ila nawaonea huruma wanavyohangaika kuvuta chini vimini skirt vyao.
au wanapokuwa wakali kwanini macho yetu wapita njia tunayagandisha vifuani, au kwenye makalio mayo....!
 
The problem is even bigger when you are blessed with a semi-permanent diverged junior!! lol

If you work in an office endowed with beauties of sort, then a file folder has to be handy at all times... you oughtta criss-cross them corridors while carrying one!!

Oooh yeah, au kuchomoa shati kama ulikuwa umechomekea.

Hilo unalosema ni kweli kabisa BAK... lakini wee hebu angalia tu tshirt yangu kwenye avatar!! Nilishajishtukia mapemaaaa... lol

Umepinda wewe walahi, nimecheka mpaka mbavu zinaniuma hapa
 
Mods plis msiiondoe hii hapa, Kina dada wanapitiliza sasa
.hii ndio nini? eti? cheki link hii; http://www.globalpublishers.info/ph...r mguuni? kwikwikwi napita jamani[/I][/COLOR]
 
Mbu... Mimi naungana na wewe sana kwenye hili suala la mavazi, to a large extent sasa hivi mavazi ya dada zetu na hata baadhi ya wanaume yamekua too explicit na sometimes yanachekesha aisee

Kwa upadne wa wananawake unaweza kukuta binti mzuri haswa na mrembo lakini anavaa tunguo hadi unashindwa umuweke kwenye group gani; kuna mama mmoja hadi kazini anaenda na legging utafikiri yupo gym, kwakweli siwaelewi. Pamoja na klwamba napenda sana fashion girls na hasa wale wanao-enhance beauty zao, mfano ana mguu mzuri, basi si haba akiuonyesha kuanzia gotini nk. au ana kifua bomba basi si mbaya kikawa kimepewa blouse yenye umbo zuri, lakini sasa hili la kuanika mipaja, nyonyo and sometimes (tena hii ndio huwa inanikera) ile michupi, g-string tena ofisini bila kujali aina ya watu inakera

sasa ukute na mabaka-baka mwilini ndio kabisaaa.... a natural woman with less or no sugar added is always more beautiful, sexy, humble and loved... one doesnt need to "powerpoint" her life for others to appreciate uzuri wake

Upande wa wanaume siku hizi mkuu tumeibuka na kuacha vifua almost wazi, kata-K au hata shati dizaini ya blauzi mkuu, to some inachekesha kweli... ila hilo ntawaachia akina dada waliseme vizuri zaidi
 
Moskwito leo uko kikazi zaidi naona.

Hii midada mingine kiukweli inaboa sana. Inawadhalilisha wanawake wenzao.
meti... hilo liko wazi, sasa ukute keshapachika chinese kila idara ndo balaa, atahangaika ilmradi hizo appendages zionekane mwisho anakua kama kadudu-mtu

tamu ni pale anapojaribu style inayopendeza wembamba wakati yeye mwili jumba, au anachapa tight wakati mabaka yameziidi ya cheeter au kapachika fito za genge downstairs

cha maana hapa ni dress decent and be treated with respect, ukivaa kama kibwengo cha jolilies club utafana nao wa jollies na hata waliokuzunguka watakua wamekaa ki-jollies club... si wazazi, mwenza, watoto, ndugu na hata office mates
 
maeti... hilo liko wazi, sasa ukute keshapachika chinese kila idara ndo balaa, atahangaika ilmradi hizo appendages zionekane mwisho anakua kama kadudu-mtu

tamu ni pale anapojaribu style inayopendeza wembamba wakati yeye mwili jumba, au anachapa tight wakati mabaka yameziidi ya cheeter au kapachika fito za genge downstairs

cha maana hapa ni dress decent and be treated with respect, ukivaa kama kibwengo cha jolilies club utafana nao wa jollies na hata waliokuzunguka watakua wamekaa ki-jollies club... si wazazi, mwenza, watoto, ndugu na hata office mates

Meti umenivunja mbavu zangu asee....

Umenikumbusha jirani yangu...miguu kama mshale wa sekunde lakini anapiga kimini cha kufa mtu. Afu mmewe sijui kipofu? Manake anavyokatiza naye mitaani LOL. Mi siwezi ongozana na kitu kama kile asee! Hata kama angekuwa mama yangu!

Inauma sana aisee!
 
inauma sana uchungu aisee.... yani inakua kama fuso lina tairi za bajaji... si bora kuvaa maksi au trauza aisee at least kufunika kombe mwanaharamu apite
 
Mods plis msiiondoe hii hapa, Kina dada wanapitiliza sasa!
...hii ndio nini? eti? cheki link hii; mambo iko huku - Global Publishers

kina dada hii ndio niniiiii???????!

kwahisani ya Globalpublisherstz
SDC10642.JPG

...mnaudhi msipoyakemea haya bana, bora nihamie Zenj...kule angalau bado kuna staha kidogo. Hizi low cuts, chakula cha mtoto nje nje, mara leggings, ...myakemee, wanatembea uchi bana!

Kifuani anakuita....kwenye mapaja anakufukuza..lol:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Hiyo picha ya kwanza naona kama hana kufuli huyo lakini kama akiwa na kufuli mie sioni shida yoyote na picha ya pili kwa kweli sioni tatizo lolote...pamoja na kuwa matiti yanachungulia hahahahah lol! Tandahimba na Ikwiriri hakuna hizo Mkuu....Acha watu waseme jijini/mjini raha! LOL! :)

Huyo kavaa G-String imenasa kwenye mfereji wa kati kati
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom