Mamushka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2010
- 1,595
- 99
mhhhhhh hata sijui niseme nini..........
Lakini mbona mi na vaa baibui najificha nauso kabisa ka ninja, haya hao we unawaonaje tena lakini? Mh waache na wao, kizuri cha jiuza kibaya malizia mwenyewe. Na huko zenji huko sijui mwaka huu, kila kitu zenji zenji kunani tena.