Sasa mnaudhi na kukera!

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,753
7,844
Mods plis msiiondoe hii hapa, Kina dada wanapitiliza sasa!
...hii ndio nini? eti? cheki link hii; http://www.globalpublishers.info/photo/mambo-iko-huku

kina dada hii ndio niniiiii???????!

kwahisani ya Globalpublisherstz
SDC10642.JPG

...mnaudhi msipoyakemea haya bana, bora nihamie Zenj...kule angalau bado kuna staha kidogo. Hizi low cuts, chakula cha mtoto nje nje, mara leggings, ...myakemee, wanatembea uchi bana!
 
utakuta hio picha imepigwa club afu mnakuja kulalamika,walaumu hao waandishi wa habari wanaoingia sehemu kama hizo na kupiga picha...mlitegemea wavaaje na night club for heaven sake?
 
utakuta hio picha imepigwa club afu mnakuja kulalamika,walaumu hao waandishi wa habari wanaoingia sehemu kama hizo na kupiga picha...mlitegemea wavaaje na night club for heaven sake?

...hakuna cha Club wala nini, hujaona hadharani wamevaa hizo low cuts? na leggings?
au nikuwekee ushahidi mwingine?
 
...hakuna cha Club wala nini, hujaona hadharani wamevaa hizo low cuts? na leggings?
au nikuwekee ushahidi mwingine?
Hahahhaha mpaka leggings tusivae???Uwiiiiii ngona nikachome zangu!!

Ila ukweli ni kwamba huwezi kujudge kipande kimoja tu cha nguo....angalia kwanza mtu alivyopangilia ndo useme haifai maana mimi hua nazivaa sana ila hazionyeshe mpaka
visivyotakiwa maana kinachokuwepo juu ndo kinakamilisha au kinaharibu....ningeweza ningeweka picha tofauti hapa ili tuongee vizuri!!!
 
Duuu.Makubwa haya..na hiyo michirizi miguuni ni ya nini?hapo ndio alipoharibu kabisaaa..bora angefisha
 
Dah! pole mrembo.... usimlaumu sana atakua alisahau kujiangalia kwenye kioo... akajua kitu red huwa kinachanganya guys akajua kamaliza....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahhaha mpaka leggings tusivae???Uwiiiiii ngona nikachome zangu!!

Ila ukweli ni kwamba huwezi kujudge kipande kimoja tu cha nguo....angalia kwanza mtu alivyopangilia ndo useme haifai maana mimi hua nazivaa sana ila hazionyeshe mpaka
visivyotakiwa maana kinachokuwepo juu ndo kinakamilisha au kinaharibu....ningeweza ningeweka picha tofauti hapa ili tuongee vizuri!!!

...Ooooppsss, sio mbaya iwapo tu uvaaji wake hautopitiliza kiasi hiki;
article-1060310-02C196E100000578-672_468x286_popup.jpg

Lakini huyu dada'ngu, I hate to say hapa amenikwaza. She's so beautiful, wala halazimiki kuonyesha kifua.
003.jpg

...kina bro, hivi unaweza kuongozana na mkeo hadharani amevaa kituko namna hii?
Kwakweli yataka mnoyo, aheri nibakie 'wakuja' aisee!
 
mimi naona wavae ili tofauti ya kuwa kwenye jiji na kijiji ionekane..
mbu nakushauri uhamie tandahimba hivi au ikwiriri hutaona hizo...

wacha jiji liwe jiji bana lol

...Okey, ...kwahiyo huu ndio uvaaji wa kimjini? Gademu!
Hata hawapendezi! Sooo repulsive!
 
...Okey, ...kwahiyo huu ndio uvaaji wa kimjini? Gademu!
Hata hawapendezi! Sooo repulsive!

Mbu ukweli ni kwamba wapo wanaopendeza... kila fashion ya wadada itokayo ina watu wake.. kuna zile inatakwa mtu mwembamba au mnene, zile za kuonesha au kuficha viungo fulani... Issue inakua kua mdada anavaa kitu ambacho kweli kiko katika fashion but yeye akivaa mnao muona wooote mnataka kujificha...
 
...that's what I mean, majority hawapendezi!.....aaaarrrghhhhhhh!!!.....
 
Mbu, nasupport alichosema The Boss...
Kwenye swala la mavazi - acha miji iwe miji na vijiji viwe vijiji.

Ila kwa hiyo picha ya kwanza, sijui kama ni quality ya picha tu au ni tatizo la ngozi... either way, mwonekano wa huyo mdada kwenye picha kama hapo juu haupendezi. Nguo fupi au ndefu, uhuru ni wake!!!
 
Swala hili ni gumu mno! Mkuu Mbu. Kuna wadada wengine hawaelewi kabisa kwamba miili yao haiendani na baadhi ya nguo wanataka kutinga tu katika nguo za aina hiyo hata kama watakuwa wanatembea robo tatu uchi, kwa wengine huwa ni matangazo ya biashara na kwa wengine hudhani kwamba wamependeza kumbe wanaonekana kituko tu. Kama alivyosema BOSS labda Mkuu ufikirie kuhamia Tandahimba hahahahah lol! kule karaha kama hizi za kukutana na akina dada waliokuwa uchi robo tatu hakuna kabisa! :)
 
...Okey, ...kwahiyo huu ndio uvaaji wa kimjini? Gademu!
Hata hawapendezi! Sooo repulsive!

mi napenda mtu akitoka kijijini akija ashangae shangae hivi....
na akirudi kijijini kwao akasimulie.......
na mtu ukiwa kwenye jiji uone kuwa uko kwenye jiji lol
sio kijijini kila mtu na kaniki na jembe mgongoni.....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
...that's what I mean, majority hawapendezi!.....aaaarrrghhhhhhh!!!.....

Nguo ile ile inaweza kuwakaa watu wawili tofauti kutokana na miili yao ilivyojengeka. Mwingine ikampendeza sana na mwingine akaonekana kituko.
 
003.jpg

Mbu, aisee hii imetulia bana, usiiponde. Kwanza, picha imepigwa ndani ya jengo hivyo wahusika wana uhuru wa kuvaa wapendavyo. Pili, madada wamejisitiri na wamependeza kwa mitindo yao, na si kwamba wanalazimisha fashion kama huko kwingine.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mbu, nasupport alichosema The Boss...
Kwenye swala la mavazi - acha miji iwe miji na vijiji viwe vijiji.

Ila kwa hiyo picha ya kwanza, sijui kama ni quality ya picha tu au ni tatizo la ngozi... either way, mwonekano wa huyo mdada kwenye picha kama hapo juu haupendezi. Nguo fupi au ndefu, uhuru ni wake!!!

...khaaaa....e bana kwa mtaji huu kweli mjini kumenishinda.
Bora nikalime viazi Mwarusembe! ...huo ni uhuru uliopitiliza!
Mitaani kwetu (Tuliokulia zama zile za Azimio la Arusha,) Scantily clad women tulikuwa tunawaita
'mayassa'...- wanawake wasiojiheshimu/wanaojiuza...

You can Imagine mentality iliyo stick kichwani mwangu.

Swala hili ni gumu mno! Mkuu Mbu. Kuna wadada wengine hawaelewi kabisa kwamba miili yao hainendani na baadhi ya nguo wanataka kutinga tu katika nguo za aina hiyo hata kama watakuwa wanatembea robo tatu uchi, kwa wengine huwa ni matangazo ya biashara na kwa wengine hudhani kwamba wamependeza kumbe wanaonekana kituko tu.

...BAK, binafsi naamini mwili unahitaji stara vile vile.
Kuongozana na mw'mke anayetembea nusu uchi namna hiyo khaaaa!
hapana bana,....acha tu nibakie mshamba!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom