Sasa Kanisa la Tanzania limeamshwa kwenye usingizi mzito.

Anold

JF-Expert Member
Jul 15, 2010
1,456
614
Kama kunawakati Kanisa linatakiwa lijitambue ni sasa, kwa nyakati tofauti kanisa limekuwa likisinzia kwa kile kilichukuwa kinaelezwa kuwa nchi hii ni kisiwa cha amani. Kanisa la Tanzania limekuwa sio moja na ndiyo maana hata matamko huenda kila dhehebu likatoa tamko lake. Kila dhehebu limejitahidi sana kujiangalia kivyake, na ndiyo maana likichomwa kanisa la Anglikana, Katoliki wamekuwa akidhani hawahusiki. Kimsingi watu wasio wakristo hawajua kuwa kanisa la Tanzania sio moja, hawajui kuwa kinachofanyika Anglikana Katoliki hakijui, hili ni tatizo ambalo naamini sasa litaisha, ni wakati sasa kanisa la Tanzania likajiangalia kama Kanisa Moja, Kanisa lijitambue kuwa linahitaji liwe moja katika mshikamano, kanisa linatakiwa kuaminiana na kamwe anachofanyiwa kibaya mpentekoste KKKT akilaani kwa nguvu zote.

Pamoja na ubaya wa yote yanayotokea dhidi ya Kanisa nafikiri, huku ni kuwaamsha wakristo ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakisinzia na kusahau mambo ya msingi, Kanisa sasa livae silaha za imani na kuishindania imani ya Kristo kwa kufunga na kuomba ili Mungu adhihirike kuwa huyo ndiye Mungu wa kweli.

Kanisa la Tanzania liungane bila kujali udhehebu, waangalie ukristo, msaba uwe mbele, udhehebu utumike kuwafundisha wakristo njia ya kuendea wokovu, ila inapofika suala la Kanisa udhehebu uwekwe pembeni. Bila kanisa kuwa moja, adui atapenya na kusumbua. KANISA LA TANZANIA NI WAKATI WA KUAMKA NA KUWA KITU KIMOJA
 
acha kuamsha hisia za dini ili nchi ichafuke wewe, unakumbuka ya NIGERIA? WEE, ACHA KABISA
 
Kkkt,na catholic wanaweza wakaungana lakin hawa wengne hawatakubal kwa sababu ni walim wa sheria na mafarisayo.
 
Ni kweli mkuu maana tunakoelea ni kubaya zaidi!!!!!! tuatakiwa tupigane na kupambana kiroho na si kwa njia za kimwili.
 
Unapotaka kanisa liungane ili nini kifanyike? Angalia tatizo kitaifa zaidi. Kemea uovu sio uunganishe kanisa. je, unaunganisha kanisa ili upambane na nani? Ni wazi unataka kupambana na uislamu, tumia akili ya ziada kabla hujaandika. Tukishawishi na waislamu waungane then what next? Think b4 you act!
 
Ni ukweli kuwa sasa hali siyo shwari. Nawaona Wakristo kama wamekuwa wavumilivu zaidi (Wakristo wa nchi hii). Inawezekana kabisa kuwa kuna siasa za kimataifa ambazo zimewafanya Waislam waone kuwa wanaonewa na chuki hiyo pia ikapandikizwa kwa Waislam wa Tanzania.

Niwaombe Waisalam wawe wapole maana na Wakristo pia wakiamua kuoigana au kufanya vurugu SISI WATANZANIA ndo tutaathirika.
Kwa jinsi Teknolojia ilivyo, ninaamini kuwa kuna Quran Tukufu na Biblia takatifu za kwenye mtandao (Soft copy). Na watu wanaweza kuziedit na hata kudelete vitu. Jamani jamani, Siamini kabisa kuwa Ishu ya mtoto kukojolea Quran tukufu ndo ilizaa vurugu ile. Kwani mtoto yule alitumwa na Kanisa fulani? Kilichopaswa ni kuwachukua wale watoto wote wawili , kuwafundisha na kuwachapa bakora kidogo ili wawe na adabu.

Pia niwaombe wazazi wenzangu kuwa Amani ya kweli huanzia katika ngazi ya familia. Kama tutajenga chuki ya ubaguzi wa kidini kutokana na maongezi yetu tangu majumbani mwetu , hakika huko mbele Tanzania patakuwa mahali pagumu sana kuishi. Tumeoleana mno baina ya dini hizi na sidhani kama tukigombana itatusaidia chochte....haklafu kwa faida ya nani??????

Hebu jamani tuamke. TUPENDANE. TUIFAIDI NCHI YETU KWA KULIMA NA KUFUGA KWA AMANI.

Wasaalam,

Mkulima wenu.
 
ni suala la kukaa meza moja na kuelewana tu na c kufanya vurugu, maana co suluhisho hilo!
NI AKILI NDOGO TU HAPOOO!!!!!!
 
someni Isaya 1:18-23 mtajua kwanini tunapia hapa na nn kifanyike manake tunaangamia kwa kukosa maarifa tu.
 
Kama kunawakati Kanisa linatakiwa lijitambue ni sasa, kwa nyakati tofauti kanisa limekuwa likisinzia kwa kile kilichukuwa kinaelezwa kuwa nchi hii ni kisiwa cha amani. Kanisa la Tanzania limekuwa sio moja na ndiyo maana hata matamko huenda kila dhehebu likatoa tamko lake. Kila dhehebu limejitahidi sana kujiangalia kivyake, na ndiyo maana likichomwa kanisa la Anglikana, Katoliki wamekuwa akidhani hawahusiki. Kimsingi watu wasio wakristo hawajua kuwa kanisa la Tanzania sio moja, hawajui kuwa kinachofanyika Anglikana Katoliki hakijui, hili ni tatizo ambalo naamini sasa litaisha, ni wakati sasa kanisa la Tanzania likajiangalia kama Kanisa Moja, Kanisa lijitambue kuwa linahitaji liwe moja katika mshikamano, kanisa linatakiwa kuaminiana na kamwe anachofanyiwa kibaya mpentekoste KKKT akilaani kwa nguvu zote.

Pamoja na ubaya wa yote yanayotokea dhidi ya Kanisa nafikiri, huku ni kuwaamsha wakristo ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakisinzia na kusahau mambo ya msingi, Kanisa sasa livae silaha za imani na kuishindania imani ya Kristo kwa kufunga na kuomba ili Mungu adhihirike kuwa huyo ndiye Mungu wa kweli.

Kanisa la Tanzania liungane bila kujali udhehebu, waangalie ukristo, msaba uwe mbele, udhehebu utumike kuwafundisha wakristo njia ya kuendea wokovu, ila inapofika suala la Kanisa udhehebu uwekwe pembeni. Bila kanisa kuwa moja, adui atapenya na kusumbua. KANISA LA TANZANIA NI WAKATI WA KUAMKA NA KUWA KITU KIMOJA

Haliwezi kuwa moja mpaka kiama kisimame. Maana MAKANISA NI INVESTMENT AREAS. Kila anayejisikia anawekeza. Ni sawa na Taifa Stars kila mchezaji anajali maslahi ya club yake tu.
 
Back
Top Bottom