Neylu
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 2,938
- 1,842
ha ha haa nikuonye tu sura yangu ya ukweli
iko kati kati ya dr remmy ongala na bi kidude
usikimbie ukipiga mayowe tu lol
Hahahaaa.... Kama habari ndio hiyo wacha niendelee kuwa busy na hii research yangu, naona research title haijakaa vizuri..! Na hizi objectives naona haziko SMART zitanisumbua kwenye data analysis..!