Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sasa hivi mafisadi wanapumua...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpenda pombe, Feb 19, 2011.

 1. mpenda pombe

  mpenda pombe JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 772
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 60
  Kutokana na Milipuko ya GOMS, yale mambo yote mazito yanayolikabili taifa letu yamefunikwa kabisa.. Hasa Dowans, mfumko wa bei, Kupanda kwa umeme, mgao, kujisafisha kwa Chenge, kuchaguliwa kwa EL kua mwenyekiti wa kamati.. Madai ya Katiba mpya, Migomo ya Wanavyuo, Wastaafu eac.. Etc.. Na watawala wetu wameshalitambua hilo.. Ni ku change chorus tu..
   
 2. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,211
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Hii naona imepangwa kupoteza mijadala inayoikabili serikali.
   
 3. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 3,022
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  'Do once' wanaanza kulipwa lini!
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,642
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Ni kwa muda tu. hii single ya dowans haichuji mpaka wamiliki wanywee!
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,188
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Walitengeneza zengwe la arusha kupotezea dowans lkn ikaibuka. Wametengeneza tena la gomz nalo litafifia. Tusubiri zengwe jingine
   
 6. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,950
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Utafikiri TZ ni nchi yenye laana, hata chama tawala chenyewe kimelaaniwa pia hadi sasa hivi ni chama familia. Ridhiwani ana maamuzi kuliko yoyote ndani ya CCM.
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,517
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ya richmond iliondoka na fisadi machachari LOWASA na hili halitamwacha ROSTAM
   
Loading...