sarikali mnadhalilisha mahamaka zetu!!!

Asango

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
234
24
katika hali isiyo ya kawaida mahakama kadhaa mkoani tanga leo wameshindwa kuendesha shughuli zake kutoka na magari yanayotumika kuleta watuhumiwa kushindwa kufika mahakani kutoka na kukosa mfuta.habar zilizonifikia mahakimu na watu wengine walifika mahakani hapo asubuhi lakini watuhumiwa hola! Huu sio udhalilishaji wa mahakama zetu ambazo ni nguzo muhimu kwenye nchi yetu?
 
kwao hicho sio kipaumbele kuna mambo ambayo wanayapa kipaumbele ndio maana watu husema ni dha..............
 
katika hali isiyo ya kawaida mahakama kadhaa mkoani tanga leo wameshindwa kuendesha shughuli zake kutoka na magari yanayotumika kuleta watuhumiwa kushindwa kufika mahakani kutoka na kukosa mfuta.habar zilizonifikia mahakimu na watu wengine walifika mahakani hapo asubuhi lakini watuhumiwa hola! Huu sio udhalilishaji wa mahakama zetu ambazo ni nguzo muhimu kwenye nchi yetu?

Haturuhusiwiw kusema lolote mambo yapo mahakamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom