Sare za wahudumu wa LAKAIRO HOTEL Mwanza

hujategwa wewe... fika ARUSHA NIGHT PARK ? JARIBU HALAFU UTAKUJA SIMULIA!
 
Sehemu kama hizo ni maalumu kwa watu kama sisi wewe mlokole hapakufai hapo hama hotel.
 
Leo nimetua mwanza kwa shuguhuli fulani na shguhuli yetu inafanyika hapa lakaiiro hotel hivyo nitakuwa hapa kwa siku tatu(nalala hapa hapa) lakini nimeshanagzwa na sare za wahudumu wa hapa LAKAIRO.

Wahudumu wote kuanzia wa mapokezi,vinywaji,chakula,wa vyumbani wanatinga suruali za kubana ****** na shati nyeupe.

ukitazama wa kwanza unawexza kudhani nguo yake imekosewa lakini akija wa pili,wa tatu nk hali ni hivyo hivyo.

yahani sikufurahishwa na mtindo wa sare hizi wapo kama wanajiuza vile au wenzangu mnaoelewa sare za watu hawa mnasemaje.

hii ni hotel nzuri sana ya kisasa kabisa nilidhani na wahudumu wangeendana na hali hii kumbe siyo,ngoja usiku uingie nitawajuza kinachoendelea hapa usiku ikiwezekana na kuppata picha zao

Waambie uongozi wa hii Hoteli naweza kuwatengenezea sare za dezo za kisasa "Made In USA" ilimradi ziwe na maandishi "Property of mCapa mWeezy Wear"
 
Leo nimetua mwanza kwa shuguhuli fulani na shguhuli yetu inafanyika hapa lakaiiro hotel hivyo nitakuwa hapa kwa siku tatu(nalala hapa hapa) lakini nimeshanagzwa na sare za wahudumu wa hapa LAKAIRO.

Wahudumu wote kuanzia wa mapokezi,vinywaji,chakula,wa vyumbani wanatinga suruali za kubana ****** na shati nyeupe.

ukitazama wa kwanza unawexza kudhani nguo yake imekosewa lakini akija wa pili,wa tatu nk hali ni hivyo hivyo.

yahani sikufurahishwa na mtindo wa sare hizi wapo kama wanajiuza vile au wenzangu mnaoelewa sare za watu hawa mnasemaje.

hii ni hotel nzuri sana ya kisasa kabisa nilidhani na wahudumu wangeendana na hali hii kumbe siyo,ngoja usiku uingie nitawajuza kinachoendelea hapa usiku ikiwezekana na kuppata picha zao

Kawaida ndugu, siku hizi wadada wanavaa nguo za wadogo zao kisha mwendo mdundo.
 
Back
Top Bottom