Sare za wahudumu wa LAKAIRO HOTEL Mwanza

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Leo nimetua mwanza kwa shuguhuli fulani na shguhuli yetu inafanyika hapa lakaiiro hotel hivyo nitakuwa hapa kwa siku tatu(nalala hapa hapa) lakini nimeshanagzwa na sare za wahudumu wa hapa LAKAIRO.

Wahudumu wote kuanzia wa mapokezi,vinywaji,chakula,wa vyumbani wanatinga suruali za kubana ****** na shati nyeupe.

ukitazama wa kwanza unawexza kudhani nguo yake imekosewa lakini akija wa pili,wa tatu nk hali ni hivyo hivyo.

yahani sikufurahishwa na mtindo wa sare hizi wapo kama wanajiuza vile au wenzangu mnaoelewa sare za watu hawa mnasemaje.

hii ni hotel nzuri sana ya kisasa kabisa nilidhani na wahudumu wangeendana na hali hii kumbe siyo,ngoja usiku uingie nitawajuza kinachoendelea hapa usiku ikiwezekana na kuppata picha zao
 
Biashara matangazo mkubwa. Usiku ukiingia best we lala ukianza kucheki watu utakosa usingizi!
 
Wewe fanya yaliyokupeleka na ukimaliza ondoka zako.....hiyo ni hotel kubwa na masuala ya nguo zina bana maungo siyo kazi yako.
 
Hamna kitu hotel kama hiyo nidhamu inatakiwa wahudumu wa Bar, guest na hotel lazima watofautiane.

jamaa mpaka kulalamika hivyo kategwa
 
Leo nimetua mwanza kwa shuguhuli fulani na shguhuli yetu inafanyika hapa lakaiiro hotel hivyo nitakuwa hapa kwa siku tatu(nalala hapa hapa) lakini nimeshanagzwa na sare za wahudumu wa hapa LAKAIRO.

Wahudumu wote kuanzia wa mapokezi,vinywaji,chakula,wa vyumbani wanatinga suruali za kubana ****** na shati nyeupe.

ukitazama wa kwanza unawexza kudhani nguo yake imekosewa lakini akija wa pili,wa tatu nk hali ni hivyo hivyo.

yahani sikufurahishwa na mtindo wa sare hizi wapo kama wanajiuza vile au wenzangu mnaoelewa sare za watu hawa mnasemaje.

hii ni hotel nzuri sana ya kisasa kabisa nilidhani na wahudumu wangeendana na hali hii kumbe siyo,ngoja usiku uingie nitawajuza kinachoendelea hapa usiku ikiwezekana na kuppata picha zao
Sasa wewe unashangaa nini? Umesahau utandawazi? Umesahau kwamba sisi hatuna utamaduni zaidi ya utamaduni wa wazungu? Kila kitu ni kuiga tu kutoka magharibi? Nenda Ulaya na marekani fasheni ya suruali ni mwendo wa kubana kwa sana na mlegezo (kata mat. . .ko!). Ndiyo zao hizo na ndiyo zetu hizo watz. Ndugu jaribu kuzoea tu na utayaona ya kawaida. Pole sana.
 
Biashara matangazo mkubwa. Usiku ukiingia best we lala ukianza kucheki watu utakosa usingizi!
SIO TU ATAKOSA USINGIZI bali atahamasika then atavaa mkenge maana kama mchana tu amejisikia likaingia giza na mikao ya kihasara hasara????
 
Leo nimetua mwanza kwa shuguhuli fulani na shguhuli yetu inafanyika hapa lakaiiro hotel hivyo nitakuwa hapa kwa siku tatu(nalala hapa hapa) lakini nimeshanagzwa na sare za wahudumu wa hapa LAKAIRO.

Wahudumu wote kuanzia wa mapokezi,vinywaji,chakula,wa vyumbani wanatinga suruali za kubana ****** na shati nyeupe.

ukitazama wa kwanza unawexza kudhani nguo yake imekosewa lakini akija wa pili,wa tatu nk hali ni hivyo hivyo.

yahani sikufurahishwa na mtindo wa sare hizi wapo kama wanajiuza vile au wenzangu mnaoelewa sare za watu hawa mnasemaje.

hii ni hotel nzuri sana ya kisasa kabisa nilidhani na wahudumu wangeendana na hali hii kumbe siyo,ngoja usiku uingie nitawajuza kinachoendelea hapa usiku ikiwezekana na kuppata picha zao

Ungekuwa umewahi kutembelea au kuishi nchi za kiislamu au India ungeshukuru kuona wadada wamevaa za kubana. Ukiwa nchi za wenzetu wenye msimamo mkali basi unatamani walau uone wadada wamevaa kama hivyo ulivyo waona hapo mwanza, huku mashariki ya kati ni balaa....... unakaa miezi 6 hujaona hata ka-ta-ko ka binti? ah!!!! Acha hapo mwanza wajinome..... kama vipi hama hotel!!!!
 
Mkuu heshima mbele,turushie mapicha, na hii itakuwa fundisho kwa wenye mahoteli wanaotumia mabinti kujitajirisha.
 
Bwana eeh mambo ya siasa za zamani na nguo sijui kwanini bado zinatuchukulia muda badala ya kuwa objective na matatizo ya nchi. sasa ulitaka wavae buibui! aaaargh. fanya kilichokupeleka waache wapendeze bana! Cha ajabu kipi tembeeni bana!!! kwani bongo mavazi mwatake kulazimisha kama china zamani!! acheni hizo, shughulikieni matatizi sugu ya wananchi!!!! mwataka ata kuwapiga picha mweee!!!
watu hamna kazi za kufanya!!!
 
Mkuu.Jali kazi yako tu iliyokupeleka Mza acha na mambo ya Vimini utapoteza mda wako bure, wenzio wako kazini.
 
Fl1 sehemu kama hizo soko huria linatembea,mambo ya kuwavalisha wahudumu kwa ustaha hapo wateja watapungua.usikute mkuu akirudi tena atafikia hotel hio hio japo kuwa kalalamika hapa lol.
 
walivaa kama huyu safi kabisa

Yummy
59ad8d744d072cb26296772d779e2446.image.300x450.jpg
 
Fl1 sehemu kama hizo soko huria linatembea,mambo ya kuwavalisha wahudumu kwa ustaha hapo wateja watapungua.usikute mkuu akirudi tena atafikia hotel hio hio japo kuwa kalalamika hapa lol.

Na usikute kafurahi sana huyu jamaa anatamani kila dkk awaangalie hivo sijui vi skin jeans vyao ..
 
Back
Top Bottom