ee mkwere uliye madarakani, jina lako usanii mtupu, madaraka yako ni udikiteta, utupe leo mamilioni yetu ya epa, uwasamehe wafungwa wote magerezani kama ulivyomsamehe lowasa, usitutie katika ufisadi bali utuokoe utumwani kwa kuwa shutuma zote ni zako, richimond, epa na hata dowans amen.:usa2:
ubalikiwe!!