santos v barcelona

Messi scoring Forth goal for barcelona, his second of the day!
 
4 mins remaining....kuna dalili za goli la 5....

Hawa jamaa hawatakaa wasahau hiki kichapo!!!
 
Mess now kabakiza tu World cup medal aweke rekodi mpya duniani

Huyu dogo anatisha!!

Hawa Barca ni wakali sana...Mpira wao unaweza kuungalia 48hrs bila kuchoka... Nimetoka kwao na kujaribu kuangalia match ya Man U na QPR...yaani wanacheza utadhani ni zile timu zetu za pale Uwanja wa Taifa!!
 
Dawa ya Barca ni Arsenal siku zote.
Wacha wewe Dawa ya Barca ni Juventus Pekee Hata wacheze Mechi mia Barca ni kufa tu ushahidi upo

[h=3]: All Matches[/h]
DateLeagueStageHome AwayTournament
22/04/2003
27_comp_cl.gif
LC
QFBarcelona1-2 (a.p.)Juventus CL 2002/03
09/04/2003
27_comp_cl.gif
LC
QFJuventus1-1Barcelona CL 2002/03
-
205_comp_tt.jpg
TT
SFJuventus1-0Barcelona Taça das Taças 90/91
-
205_comp_tt.jpg
TT
SFBarcelona3-1Juventus Taça das Taças 90/91
19/03/1986
27_comp_cl.gif
LC
QFJuventus1-1Barcelona CL 1985/86
05/03/1986
27_comp_cl.gif
LC
QFBarcelona1-0Juventus CL 1985/86
04/11/1970
232_comp_tcf.jpg
TCF
2EJuventus2-1Barcelona Fairs Cup 1970/71
20/10/1970
232_comp_tcf.jpg
TCF
2EBarcelona1-2Juventus Fairs Cup 1970/71
 
Invisible tuwekee our thread sticky jamani mbona tunawalalamikia kila siku yaani kuna special thread ya hotspur hapa imewekwa sticky wakati special thread ya barcelona inazagaa ni aibu sana mnacho kifanya ni unazi usiokuwa na maana wa timu za kiingereza moderator wa hii forum nafikiri ni barca hater ila naendelea kusema tunatawala soka la ulimwengu kwa sasa mkatae mkubali visca el barca barcelonaaaaaaa........

Invisible na Man U damu na akikumbuka fainali ya UEFA msimu uliopita lazima aweke kauzibe! Hahaaa ni kibonzo tu hiki
 
Invisible tuwekee our thread sticky jamani mbona tunawalalamikia kila siku yaani kuna special thread ya hotspur hapa imewekwa sticky wakati special thread ya barcelona inazagaa ni aibu sana mnacho kifanya ni unazi usiokuwa na maana wa timu za kiingereza moderator wa hii forum nafikiri ni barca hater ila naendelea kusema tunatawala soka la ulimwengu kwa sasa mkatae mkubali visca el barca barcelonaaaaaaa........

Mkuu ombi lako limetekelezwa..... furahi na wana barca wenzako sasa
 
Naymar is overrated
pele anampamba sana dogo!kipindi kile alimpamba sana robinho wakati gaucho anaitikisa dunia katika usakataji kabumbu!kumbe hana lolote huyo robinho mweupe tu sasa mtaalam messi anaikonga dunia anataka kumfananisha na dogo wake neymar!hizi ni dhambi za kujitakia anazitafuta pele!....messi unataka kumtafutia mpinzani wa kandanda?asilete masihara mtu!huyp christina wa madrid mziki wa messi hauwezi sasa wanampamba neema wa santos!mtu mfupi mikosi!hakamatiki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom